Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Unajua point sio kuganda ila point ni kujitambua. If your daughter will never understand her social value lazma atapata shida. Ishu ni kumuacha awe huru ila hakikisha anaelewa maisha yalivyo. At a certain point tulizaliwa tukakuta kuna familia its more of a norm and custom. Watu wanaoana wanazaa watoto and raise kids together. That is how things should work. Huu utaratibu wa kuzaa zaa hovyo bila mpangilio ndio utakuja kuzidisha watoto wengi wa mitaani and you should not encourage her to do so.
Nadhani wewe ndo unaishi kizamani my dear, dunia ya sasa haipo hivyo unavyowaza. Mawazo yako ni kama ya bibi zetu wa mwaka 1922. Naamini hata binti yangu wa kizazi cha sasa hana mawazo kama ya kwako.
Baada ya miaka 10 hutaongea hiki unachoongea sasa hivi.

Kila la kheri kwenye kuwaganda hawa viumbe...nipo nimekaa paleeeee 👉👉
 
Hell no, over my dead body. Hii mitazamo ndiyo inafanya wanaume watuchukulie poa kila uchao, hivi umegundua kuwa hali inazidi kuwa mbaya? Watoto wako wa kike si ndo wataishia kutongoza wanaume ? Nikiwa kama binti wa kiafrika huu ni msimamo wangu;
1. Nitamheshimu na kumjali mwanaume niliyenaye na wala sitamcheat, hii ni kwa ajili ya amani ya moyo wangu.
2. Sitakubaliana na idea ya kugombana na mwanamke mwingine kisa bwana asiyeitambua thamani yangu, you cheat you go, full stop, na wwla sina ugomvi na the other woman maana we are all victims here.
3. Kwa heshima niliyojiwekea one day nitakutana na mwanaume atakanipenda kwa hiari yake na kuona thamani yangu bila ya mimi kutakiwa kuprove anything
4. Once stupid, cheater, arrogant etc always stupid, cheater, arrogant etc, hatokaa abadilike why nimgande, swali ni je are you ready kuishi na mtu mwenye hizo tabia?, si utalia maisha yako yote mara ufikirie kujiua, kumuua au muishi kama paka na panya ndani? Kilemba cha ndoa ni kizuri sana, nikiwa binti wa kikristo nathamini sana ndoa maana ni daraja takatifu, but hicho kilemba kinapendeza kikifungwa kwa ustadi wa upendo, siyo manipulation, changamoto ndogondogo zipo wote hatujakamilika, ila red flag zikimbie sissy, don't ever dare!
5. My peace of mind is everything, sitaki kuchase huzuni, single or not ndo naishi hivyo, nasubiri amani inifuate huku nikiendelea kuishi, if you know you know
6. Kuna magonjwa, ukiachana na VVU have you researched magonjwa ya zinaa mnayoachiwa wanawake mnaong'ang'ania wanaume wanauchovya kwingi? How do you live with hiyo miwasho ya chlamydia kisa bwana anatembeza mkuki kila sehemu, hell no, my down here need to be clean and free of any uncomfortable situation, sitaki kuja kuumwa saratani ya mlango wa kizazi kisa nilipambania bwana mleta uchafu. Asipokuletea ukimwi certainly anakuletea miwasho ya fungus to say the least.
Having said so, kamwe sitokaa nidiminish thamani ya uumbaji alioufanya Mungu juu ya mwili na nafsi hii, yupo anayenifaa, sijakutana naye tu, ila tukikutana everything will align perfectly tena bila heartbreak zisizo na maana. Kwakuwa Mungu alisema kila jinsia itaacha wazazi na kuungana na jinsia nyingine kuwa mwili mmoja, that is just a matter of when not if. NB: Siwezi kuwasemea wanawake ambao hawana kazi au biashara, maana wapo katika category nyingine, ukiachana na mapenzi wanatafuta mwanaume wa kuwaweka mjini, huo mkanganyiko siwezi kuusemea sijauishi, but all in all, kama umeumbwa mzima why usijitafutie kipato chako na ukaishi kulingana na income yako? Women, you matter kuliko unavyodhania, and the women:man ratio is just perfect for everyone to find that special man of your dreams. While unasubiri don't shut down ndoto zako, jiendeleze kielimu, panua biashara zako, fanya maendeleo yako nyumba gari kila kitu is possible, hakuna sababu ya kusubiri mwanaume aje akufanyie hayo. Teach young girls kupenda elimu na kujitegemea, be that agent for change, zama za kusubiri kuhongwa zimepita, this country is extremely exciting for women economic revolution, jifunze kutambua fursa ziko wapi, nasisitiza kipato maana kina direct relation na uhuru wa mwanamke kuchagua nani awe mume wake, la sivyo mnajikuta mnaangukia kwa hayo madungaembe mkafanye ndoa kuwa vilio. Good men wapo, you just need time and space kuwatambua. Bye 👋
 
Hell no, over my dead body. Hii mitazamo ndiyo inafanya wanaume watuchukulie poa kila uchao, hivi umegundua kuwa hali inazidi kuwa mbaya? Watoto wako wa kike si ndo wataishia kutongoza wanaume ? Nikiwa kama binti wa kiafrika huu ni msimamo wangu;
1. Nitamheshimu na kumjali mwanaume niliyenaye na wala sitamcheat, hii ni kwa ajili ya amani ya moyo wangu.
2. Sitakubaliana na idea ya kugombana na mwanamke mwingine kisa bwana asiyeitambua thamani yangu, you cheat you go, full stop, na wwla sina ugomvi na the other woman maana we are all victims here.
3. Kwa heshima niliyojiwekea one day nitakutana na mwanaume atakanipenda kwa hiari yake na kuona thamani yangu bila ya mimi kutakiwa kuprove anything
4. Once stupid, cheater, arrogant etc always stupid, cheater, arrogant etc, hatokaa abadilike why nimgande, swali ni je are you ready kuishi na mtu mwenye hizo tabia?, si utalia maisha yako yote mara ufikirie kujiua, kumuua au muishi kama paka na panya ndani? Kilemba cha ndoa ni kizuri sana, nikiwa binti wa kikristo nathamini sana ndoa maana ni daraja takatifu, but hicho kilemba kinapendeza kikifungwa kwa ustadi wa upendo, siyo manipulation, changamoto ndogondogo zipo wote hatujakamilika, ila red flag zikimbie sissy, don't ever dare!
5. My peace of mind is everything, sitaki kuchase huzuni, single or not ndo naishi hivyo, nasubiri amani inifuate huku nikiendelea kuishi, if you know you know
6. Kuna magonjwa, ukiachana na VVU have you researched magonjwa ya zinaa mnayoachiwa wanawake mnaong'ang'ania wanaume wanauchovya kwingi? How do you live with hiyo miwasho ya chlamydia kisa bwana anatembeza mkuki kila sehemu, hell no, my down here need to be clean and free of any uncomfortable situation, sitaki kuja kuumwa saratani ya mlango wa kizazi kisa nilipambania bwana mleta uchafu. Asipokuletea ukimwi certainly anakuletea miwasho ya fungus to say the least.
Having said so, kamwe sitokaa nidiminish thamani ya uumbaji alioufanya Mungu juu ya mwili na nafsi hii, yupo anayenifaa, sijakutana naye tu, ila tukikutana everything will align perfectly tena bila heartbreak zisizo na maana. Kwakuwa Mungu alisema kila jinsia itaacha wazazi na kuungana na jinsia nyingine kuwa mwili mmoja, that is just a matter of when not if. NB: Siwezi kuwasemea wanawake ambao hawana kazi au biashara, maana wapo katika category nyingine, ukiachana na mapenzi wanatafuta mwanaume wa kuwaweka mjini, huo mkanganyiko siwezi kuusemea sijauishi, but all in all, kama umeumbwa mzima why usijitafutie kipato chako na ukaishi kulingana na income yako? Women, you matter kuliko unavyodhania, and the women:man ratio is just perfect for everyone to find that special man of your dreams. While unasubiri don't shut down ndoto zako, jiendeleze kielimu, panua biashara zako, fanya maendeleo yako nyumba gari kila kitu is possible, hakuna sababu ya kusubiri mwanaume aje akufanyie hayo. Teach young girls kupenda elimu na kujitegemea, be that agent for change, zama za kusubiri kuhongwa zimepita, this country is extremely exciting for women economic revolution, jifunze kutambua fursa ziko wapi, nasisitiza kipato maana kina direct relation na uhuru wa mwanamke kuchagua nani awe mume wake, la sivyo mnajikuta mnaangukia kwa hayo madungaembe mkafanye ndoa kuwa vilio. Good men wapo, you just need time and space kuwatambua. Bye
Mdogo wangu upewe maua yako,you have done it all
 
Baby wangu hatumii vumbi, labda vibabu na wanaume wasiokuwa na nguvu za kiume

Huyu wangu show show mpk kikuku nakiona kinanitinga mguuni
Hahaha we endelea kumpamba tu siku utapokutana nacho ndipo utaona ulicherewa wap😄😄
 
Unajua point sio kuganda ila point ni kujitambua. If your daughter will never understand her social value lazma atapata shida. Ishu ni kumuacha awe huru ila hakikisha anaelewa maisha yalivyo. At a certain point tulizaliwa tukakuta kuna familia its more of a norm and custom. Watu wanaoana wanazaa watoto and raise kids together. That is how things should work. Huu utaratibu wa kuzaa zaa hovyo bila mpangilio ndio utakuja kuzidisha watoto wengi wa mitaani and you should not encourage her to do so.
Tunazungumzia kumganda mwanaume ambae hana mwelekeo. Naelewa maana ya familia. Na yeye anaelewa naamini.
 
Heloo,

Hope you are doing poaa. Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!

Ni hiv, :zama za kususa, kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina. Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu.

Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi titi utaganda. Wewe ongeeni kaka ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.

Ipo hivi hawa wenzetu kama hamjui wao kulala hata na chizi kwao ni sawa. Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani? Ni hawa hawa.

Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee bahati uliyopata, hebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu. Maana hakuna asiyependa kuitwa mama sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.

Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele, Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo.

Ni mwendo wa kukomaaa!
Uko sahihi,sisi wanaume wengi tukishikwa mara ya kwanza ya pili baada ta hapo tunaongeza maarifa na umakini zaidi ili tusikamatwe na wale tunaowapenda,wanawake msituache sababu ya fumanizi
 
Back
Top Bottom