Sijui kama nitakuwa nimekuelewa vizuri lkn nadhani unaongelea kwamba ukipata mwanaume anayeeleweka umgande,right;, lakini nafikiri ungetumia neno"Muombee asibadilike" My dia kumganda mtu sio sababu ya yeye kuacha,lahasha,kama Hana mapenzi na ww hata umgande vipi ataondoka tu.
Tuna mifano halisi ya watu tuliowaganda pamoja na kuwa na madhaifu yao tuliyafukia tukawa tunaangalia mema tu,yani hata akosee vipi unaendelea kumpenda na kumganda tu,lkn mwisho wa siku anakutaftia sababu ambayo,wewe mwenyewe utanyoosha mikono useme yes,nimesarender.
Tusichokijua ni kwamba Hawa ndugu zetu wanaume,baadhi yao wakiona wanapendewa na kugandwa sana wanakudharau,sio wote lkn there are some men are very humbled,yani ukimpenda anajua kurudisha shukrani,ila mwingine ukimganda ndo umeula wa Chuya.
So jambo la msingi hapa ni kwamba endapo utapata mwanaume anayeeleweka,na mwenye mapungufu ambayo it can be solved,Muombee asibadilike,lkn kumganda mtu haisound na inategemea kuwa huyo mtu ana mapenzi kwako kiasi gani,kama anakupenda hata usipomganda ataendelea kukupenda tu,nakama hakupendi hata umgande vipi,ataondoka tu,I'm done