Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Mdada, ukipata mpenzi Mgande

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atake asitakee atarogwaa tyuuh, kwa sauti ya Ndugai.

Udugu tutakosa magari we haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeshakua manyakuuu nawee,?? Sitaki mambo ya nakaaya na Nancy kumgombania Luca [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Akhu ni furaha za ndinga emoji ikajichanganya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi si nishakwambia namtaka boss wa PSG aje aiokoe team yenu ya makolo fc isishuke daraja [emoji12]
 
Kwako sina zipu, nina kufuli.

Halafu funguo unazo mwenyewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weuweeeeee hapooo sasa, nasemajeee huyu ni wangu pekee angu.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
 
Akhu ni furaha za ndinga emoji ikajichanganya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi si nishakwambia namtaka boss wa PSG aje aiokoe team yenu ya makolo fc isishuke daraja [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uduguu nimechekaa nimejambaa "mbuuuu"
 
Fitna kumbe hatujazimaliza?
Hahah unaona kwanza wanataka kukuletea uswahili wa ulozi wakati hizo zama ushatoka kitambo.

Inabidi apambane na hawa waswahili wa huku, Like dissolve like. [emoji23]
 
Hahah unaona kwanza wanataka kukuletea uswahili wa ulozi wakati hizo zama ushatoka kitambo.

Inabidi apambane na hawa waswahili wa huku.
Dah,

Nimepata mtihani sana. Mwali namtaka, madogoli na ulozi sitaki.

Nimempanga mpaka shemeji dada mkubwa awaonye lakini naona bado tu!

Tutayajenga tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa tukimrogaa tutapewa na Helicopter kila mtu yakee.

Shem hataki kurogwa sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Twende banaa mwenyewe nataka nimroge CW anikabidhi hati ya ghorofa lake [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uduguu nimechekaa nimejambaa "mbuuuu"

Udugu nati hazikazi, unajambaje sasa?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi shem kashanihakikishia yule boss swahiba wake na mimi swagger zangu hachomoki lazima nimpate tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aje awekeze Makolo fc na kina Mbappe wote waje kucheza msimbazi eboooh!!![emoji2222]
 
Aah mwanangu mwenyewe wa magurudumu [emoji23]

Sema nin, me skuharibii bana, ngoja nikuwekee mazingira sawa.

Oya cocastic mwamba mwenyewe huyu hapa, achana na kiranga.

Penda vya nyumbani [emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah umenifanya nicheke kwa sauti wachumba wenyew wanabaguliwa 🙄
 
Udugu nati hazikazi, unajambaje sasa?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi shem kashanihakikishia yule boss swahiba wake na mimi swagger zangu hachomoki lazima nimpate tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aje awekeze Makolo fc na kina Mbappe wote waje kucheza msimbazi eboooh!!![emoji2222]
Mipira ten ya nini hiyo🤣
 
Fitna tumezimaliza, asante dada mkubwa.

Sasa naomba nisaidie nimesikia wadogo zako wananifanyia ulozi.

Mimi sipendi mambo hayo, wajiamini tu, tunajenga udugu piga ua galagaza.

Ulozi sipendi.
Ushaanza kulogeka 🤣
 
Mipira ten ya nini hiyo[emoji1787]

Bro namtaka boss wa PSG na shemeji kiranga kasema swahiba ake ko nishindwe mimi tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa ndio nataka tukionana nimshawishi aje anunue na makolo fc kina Mbappe waje wacheze msimbazi [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Back
Top Bottom