Mdada smart anaeweza kufanya vipindi vya mapenzi na taarabu

Mdada smart anaeweza kufanya vipindi vya mapenzi na taarabu

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
Unaweza vipindi vya mapenzi na mahusiano? Unaweza vipindi vya taarabu? Vyeti vitahitajika lakini kwanza uwezo wako muhimu zaidi. Kazi inapatikana Dodoma.

0714045080.
 
Kuna jamaa aliajiriwa radio moja hapo hapo Dodoma mshahara ulikuwa unacheza kama kipimajoto, mara laki mara na nusu, mwezi mwingine unapita free, boss anasema na yeye biashara hazijaenda vizuri!
Kama upo serious na kazi ajiri mtu serious.
 
Wewe mtoa mada ni mzigo aise vipindi vya mapenzi ni xxx au harafu unatoa tangazo kiboya sana una shindwa kupangilia shame on u
 
WEWE HAUNA DADA ZAKO????? AU NDG WENGNE.MPAKA TUWALETEE DADA ZETU MUWANYANYASE KI JINSIA.....!
 
Back
Top Bottom