Mdada, njoo unipende nina sifa 10

Mdada, njoo unipende nina sifa 10

Sifazangu ni:-
1-Makengeza
2-Pua ka ngumi
3-Nywele ka mkutano wa nzi
4-Maskio ka bakuli
5-Meno ka reki (gaucho)
6-Mdomo unaharufu ka tundu la choo
7-Sura ka nimenusa harufu mbaya
8-Kikwapa ka fagio la choo
9-Mweusi ka masizi
10-Sija ta..riwa (nina mkono wa sweta)

Kuna tatizo gani kama mtu uko mzima.
Huna kilema, unaweza kufanya kazi/ shughuli zako vizuri na ukamwabudu Muumba??
Kuna kisichotibika kwa sasa??? labda magonjwa makubwa tu.

Its personality that gets the heart, hayo mengi yanattract attention tu.
You should be thankful!
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1373373318825.jpg
    uploadfromtaptalk1373373318825.jpg
    11.8 KB · Views: 115
Last edited by a moderator:
kazi ya muumba haina kasoro, uzuri au ubaya wa m2 upo machoni kwa mtu utapendwa na bidada mzuri kama mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom