SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Anaitwa Lilia Stepanova, mzaliwa wa Moldova anayeishi Marekani kwa sasa.
Wazazi wake walikuwa maarufu kwa kukunja miili yao kuunda umbo lolote walitakalo (contortionists).Wazazi walimfundisha mtoto wao sanaa hii akiwa
na umri wa miaka mitano.
Maajabu anayofanya huyu mdada ni kutumia miguu yake kulenga shabaha kwa upinde na mshale, huku akiwa miguu juu kichwa chini!Anatumia mikono
yake kujishikilia kwenye vyuma maalumu.Mwone hapa chini.

Habari na picha kwa hisani ya DailyMail Online