Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,178
- 52,374
Ungehama na makazi wakati ulipomwambia aende kwao,Wanawake jamani, kuna Dada nilikuwa naye kwenye mahusiano. Alinisumbua sana. Kuachana naye direct nilishindwa. Ila niliamua niachane naye indirect Nilimpa nauli nikamwambia aende nyumbani kwao lakini sikumwambia namuacha. Alivyoenda akafika kwao nikaanza punguza mawasiliano mwisho nikamblock. Nikajua hapa nimeondokana naye na haezi kurudi tena.
Nimekaa miezi karibu 6 Nishasahau kabisa Sina hili wala lile huyu hapa mlangoni usiku Kufungua mlango ni yeye Nikakosa pozi Akaingia kwa vurugu kweli kweli. Anataka kuvunja vitu Ikabid niwe mpole maana hawachelewi kukutengenezea case Sasa aliendelea kuniganda mwishowe nikamwambia Mimi siwez kukuoa tena Siwezi mahusiano tena Nilishakushindwa Kakataa kata kata Kuondoka.
Nimeenda kazin nimerud nimekuta yupo tena kaleta na begi lake kabisa. Nitamtoa je kwangu maana sina mpango naye kabisa. Yeye hataki kuelewa wakati alishanisumbua sana Mpaka mimba alishazitoa. Ananiharibia mipango yote maana nilikuwa sijajipanga kuishi na mwanamke kabisa.
Wakuu hamuwez kunipa mawazo kuhusu jinsi ya kumuondoa hapa kwangu?
lakini na wewe ulianzishaje mahusiano na mtu unaejua hamtafika mbali, umemtumia sahavi unamwaga, unajua umemkosesha wachumba wangapi na kupoteza muda wake , hii dhambi hii.