Starwars91
Member
- Jul 12, 2020
- 52
- 47
- Thread starter
- #81
Kwa nini unasema hivyo jaman?Tatizo binadamu.. wabishi sana
Cc mahondaw
Kwa nini unasema hivyo jaman?Tatizo binadamu.. wabishi sana
Cc mahondaw
Sikia mkuu endesha maisha yako kwa mipango bila hivyo utapata shida sanaKwa nini unasema hivyo jaman?
Umeniacha kidogo hapa mkuu. Naomba unipe somo kidogo kuhusu hii uliosema na connection kwa yaliyonitokeaSikia mkuu endesha maisha yako kwa mipango bila hivyo utapata shida sana
ukipata milioni 10 sio lazima ununue gari na sio lazima ujenge
nazani umenielewa
Ni kuwa kila kitu kina muda wake na muda ukiwadia vitakuja vyenyewe ila kama uta force kuvipata kuna hasara kubwa utapata hata ukifanikiwaUmeniacha kidogo hapa mkuu. Naomba unipe somo kidogo kuhusu hii uliosema na connection kwa yaliyonitokea
Duuh aisee!! Kumbe yale madawati yanawatejaNenda dawati la jinsia pale polisi, mtafute wadada wa lile dawati huwa ni waelewa sana mpe mkanda mzima then wao watamwita waongee nae ikiwezekana wampige mkwara kidogo kuja hapo home, nshawahi tumia hii njia maana mtu alikuwa geto na hataki kuondoka plus anasema ukizingua najiua
Ulimwahidi kumuoa?Mkuu acha tu. Mdogo wangu mabangi ndo alikuja kumuamshia vagi. Ikabid wanafamilia waje, mabalozi, na marafiki waje pia. Alishanivunjia vyombo ndan akatoa vyombo nje vyote anataka abebe aondoke navyo.
Achana nae mkuu why akupe stress wakati wanawake wanaojielewa wapo wengi tu2 years now. Aliolewa akaachika. Nikakutana naye mtaani. Nikamtongoza akawa mpenzi. Lakin kwenye yale mahusiano alikuwa mtu Wa starehe, maigizo, mtu Wa kutaka kunichuna. Ananiambia ana mimba mwisho Mara imetoa. Nilichoka. Mwishoni mwishoni wakati anakaa na marafiki zake wamepanga aliniabia ana mimba. Baada ya muda akaniambia mimba imetoka kisa nimemgombeza. Hapo ndo niliamua kuacha kabisa kutaka kuwa naye. Nilitaka kumuacha kimya kimya. Ilibidi aende kwao. Nikaanza kupunguza mawasiliano. Nikakata kabisa. Karud bila taarifa sasa ndo mtiti. Juzi kavunja vyombo ndan. Katoa vitu vyangu nje anataka abebe. Ilibidi niite balozi ndugu na jamaa. Balozi ilibidi amtoe mwenyewe. Popote anisamehe maana nilishamshindwa. Alikuwa hanipendi bali alikuwa kwangu kimasalahi
Mwambie umeathirikaWanawake jamani, kuna Dada nilikuwa naye kwenye mahusiano. Alinisumbua sana. Kuachana naye direct nilishindwa. Ila niliamua niachane naye indirect Nilimpa nauli nikamwambia aende nyumbani kwao lakini sikumwambia namuacha. Alivyoenda akafika kwao nikaanza punguza mawasiliano mwisho nikamblock. Nikajua hapa nimeondokana naye na haezi kurudi tena.
Nimekaa miezi karibu 6 Nishasahau kabisa Sina hili wala lile huyu hapa mlangoni usiku Kufungua mlango ni yeye Nikakosa pozi Akaingia kwa vurugu kweli kweli. Anataka kuvunja vitu Ikabid niwe mpole maana hawachelewi kukutengenezea case Sasa aliendelea kuniganda mwishowe nikamwambia Mimi siwez kukuoa tena Siwezi mahusiano tena Nilishakushindwa Kakataa kata kata Kuondoka.
Nimeenda kazin nimerud nimekuta yupo tena kaleta na begi lake kabisa. Nitamtoa je kwangu maana sina mpango naye kabisa. Yeye hataki kuelewa wakati alishanisumbua sana Mpaka mimba alishazitoa. Ananiharibia mipango yote maana nilikuwa sijajipanga kuishi na mwanamke kabisa.
Wakuu hamuwez kunipa mawazo kuhusu jinsi ya kumuondoa hapa kwangu?
Mwanakulifaindi mwanakuligeti. Baharia naona umepatikana
Anzia hapa: Ungekuwa wewe ndiye yeye ungependa nini kifanyike katika hali hii? Jibu utakalolipata ndilo hilo litekeleze![]()




Mkuu kwa POST hii ina maanisha ashaondoka kwako?2 years now. Aliolewa akaachika. Nikakutana naye mtaani. Nikamtongoza akawa mpenzi. Lakin kwenye yale mahusiano alikuwa mtu Wa starehe, maigizo, mtu Wa kutaka kunichuna. Ananiambia ana mimba mwisho Mara imetoa. Nilichoka. Mwishoni mwishoni wakati anakaa na marafiki zake wamepanga aliniabia ana mimba. Baada ya muda akaniambia mimba imetoka kisa nimemgombeza. Hapo ndo niliamua kuacha kabisa kutaka kuwa naye. Nilitaka kumuacha kimya kimya. Ilibidi aende kwao. Nikaanza kupunguza mawasiliano. Nikakata kabisa. Karud bila taarifa sasa ndo mtiti. Juzi kavunja vyombo ndan. Katoa vitu vyangu nje anataka abebe. Ilibidi niite balozi ndugu na jamaa. Balozi ilibidi amtoe mwenyewe. Popote anisamehe maana nilishamshindwa. Alikuwa hanipendi bali alikuwa kwangu kimasalahi
Hama hapo kwako kwa muda chukua vitu muhimu sepa navyoWanawake jamani, kuna Dada nilikuwa naye kwenye mahusiano. Alinisumbua sana. Kuachana naye direct nilishindwa. Ila niliamua niachane naye indirect Nilimpa nauli nikamwambia aende nyumbani kwao lakini sikumwambia namuacha. Alivyoenda akafika kwao nikaanza punguza mawasiliano mwisho nikamblock. Nikajua hapa nimeondokana naye na haezi kurudi tena.
Nimekaa miezi karibu 6 Nishasahau kabisa Sina hili wala lile huyu hapa mlangoni usiku Kufungua mlango ni yeye Nikakosa pozi Akaingia kwa vurugu kweli kweli. Anataka kuvunja vitu Ikabid niwe mpole maana hawachelewi kukutengenezea case Sasa aliendelea kuniganda mwishowe nikamwambia Mimi siwez kukuoa tena Siwezi mahusiano tena Nilishakushindwa Kakataa kata kata Kuondoka.
Nimeenda kazin nimerud nimekuta yupo tena kaleta na begi lake kabisa. Nitamtoa je kwangu maana sina mpango naye kabisa. Yeye hataki kuelewa wakati alishanisumbua sana Mpaka mimba alishazitoa. Ananiharibia mipango yote maana nilikuwa sijajipanga kuishi na mwanamke kabisa.
Wakuu hamuwez kunipa mawazo kuhusu jinsi ya kumuondoa hapa kwangu?