mdada kanasa kwa jambazi.......

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,281
7,126
@arusha,baba mngoni ,mama mchagga.

kagundua kuwa bf wake ni jambazi, baada ya kuiona bastola yake akamuuliza kwa upole bf akakubali ila akamuahidi anaitaji matukio matatu tu ila aachane na ujambazi.Anadai anataka mtaji wa kufungua duka la kuuza pikipiki za mchina hapa Arusha .Akadai strictly hajawai kuuwa na yuko makini hawezi kunaswa na akinaswa ana uhakika wa kutolewa.

Mdada kashampenda sana jamaa na anadai amewahi kuwa na mahusiano na wanne wote walimuacha ndani ya miezi isozidi sita ila huyu ndiye aliyedumu naye mwaka na nusu na mkaka kashamtambulisha kwao,mawifi zake (to be) wanampenda sana na always humwambia tunashukuru as now days kaka yetu yuko fucused anaijali familia, mipombe kapunguza, anaiheshimu kazi yake (tour guide),

Confidential: Mdada mwenyewe analipa (uzuri) kwa 40% na umri umesogea na jamaa yuko presentable 70%
 
Huyo dada aachane na huyo jambazi, asitafute sababu mfu kujipa moyo. Je na huyo jambazi akimuacha itakuwaje? Kuhusu kumtambulisha hilo siyo tatizo kwani akiwaambia mchumba wake ni jambazi sidhani kama hawatamuelewa.
Uzuri wa mwanamke upo machoni pa mtazamaji, na kwa nini awe anaachika kila mara pamoja na huo uzuri uliousema?
 
Uzuri kwa 40% manake halipi sana kwa hiyo lazima akomae na anayemkaribia.
Anahofia umri na figure yake vitamkosesha mume na kashampenda huyu jambazi.
 
@arusha,baba mngoni ,mama mchagga.

kagundua kuwa bf wake ni jambazi, baada ya kuiona bastola yake akamuuliza kwa upole bf akakubali ila akamuahidi anaitaji matukio matatu tu ila aachane na ujambazi.Anadai anataka mtaji wa kufungua duka la kuuza pikipiki za mchina hapa Arusha .Akadai strictly hajawai kuuwa na yuko makini hawezi kunaswa na akinaswa ana uhakika wa kutolewa.

Mdada kashampenda sana jamaa na anadai amewahi kuwa na mahusiano na wanne wote walimuacha ndani ya miezi isozidi sita ila huyu ndiye aliyedumu naye mwaka na nusu na mkaka kashamtambulisha kwao,mawifi zake (to be) wanampenda sana na always humwambia tunashukuru as now days kaka yetu yuko fucused anaijali familia, mipombe kapunguza, anaiheshimu kazi yake (tour guide),

Confidential: Mdada mwenyewe analipa (uzuri) kwa 40% na umri umesogea na jamaa yuko presentable 70%

hapo kwenye bold
asipofanikiwa ataongeza matukio mengine mangapi
 
Hivi wanaume wameisha mtaani hadi aparamie jambazi?
mwanzoni hakujua ila alipoifuma bastola yake anahisi na alipomuuliza jamaa akakiri.
ujue mdada ndio hivyoo keshapenda na to be honest figure ya huyu mdada haimpii uhakika wa kumpata mwanaume karibuni incase akiachana na huyu
 
Basi waunganishe nguvu wapige matukio sita ili wafungue maduka mawili...
 
hapo kwenye bold
asipofanikiwa ataongeza matukio mengine mangapi
this is the life br!samaki mkubwa anameza mdogo.Hakuna tajiri ambaye hana criminal conduct in his life time.
Kwa hiyo huyo mdada abaki bila kuolewa????????????????
 
Kijana tunaomba ushikiano na jeshi la polisi!
hapa Arusha hawa polisi wana intellegensia ya kumwona LEMA tu.
Kwani ukiwa na mme fisadi kuna tofauti gani na kuwa na mme jambazi???????
mdada sura na shape hailipi mwacheni mwenzeni aolewe
 
Ujambazi wake unatofautianaje na ujambazi wa mafisadi,,wachungaji feki,? babu wa loliondo? Uchakachuaji wa kura etc?
 
mwanzoni hakujua ila alipoifuma bastola yake anahisi na alipomuuliza jamaa akakiri.
ujue mdada ndio hivyoo keshapenda na to be honest figure ya huyu mdada haimpii uhakika wa kumpata mwanaume karibuni incase akiachana na huyu

Pole zake
Ila hapo kwenye bold pamenikuna.
Hivi watu wanapokutana na kuanza uhusiano, ina maana hakuna cha kujali kufahamianavizuri? Huwezi kukaa na mtu hadi mwaka na nusu usimjue ni "nani" hata akikudanganya kuwa yeye ni tour guide. Wasiwasi wangu ni kuwa kilichomchanganya sana kwa mkaka huyo ni mshiko zaidi na siyo penzi la kweli.Asingekuwa na mkwanja nadhani 'angegundua fasta" kuwa kaka ni jambazi.
 
Tena leo tu nilikuwa nakuwaza maana nilikumiss sana.

Mwambie aachane na huyo jambazi matukio matatu si mchezo
 
Back
Top Bottom