mdada kanasa kwa jambazi.......

kama wanapendana waoane na amfundishe naye kazi (tour guide) ili kipato cha familia kiwe kikubwa zaidi
loh! kuna dada mmoja aliishi na mkaka miaka 10 bila kujua ka jambazi mana mda wote yuko ndani ya suti na ana ofisi yake na kumejaa mifaili hiha na wafanya kazi wanaingia na kutoka ...........kumbe ile mifaili ni imejaa documents za watu mfano mtaa flani nyumba flani iko na nn ndani na kila kitu na wale wanaokuja na kuchukua mafaili mi vijambazi mtoto yani(majambazi madogomadogo) na yy ndio bosi wao anawapangia kazi loh! kuna wanaoenda kuchunguza na kujaza details ktk files na kuna wanaozitendea kazi so ofisini ni mpishano wa watu na mifile tu na masekretar kibao kumbe nao majizi loh!
cku walienda kuiba magari kenya na kuyavusha wakazidiana kete yy akauwawa akatupwa ziwa natron ndio mkewe anajua mumewe jambazi kumbe mana walikuja wenzie ndani na kubeba kila kitu huku wakisema mumeo hajakuambia kazi yake loh!
walibeba kila kitu koz aliwazidi kete wenzie walipouza yale magari
believe me dada alikua na mimba ya miezi saba alizimia 3day na mimba ilitoka na hadi leo yuko ka hana akili zuri yani kawa kama zuzu kwa mshtuko ule
na kila nikija tz namuona bado yuko home kwao mana ni jirani na ss.................yani ukimuona unaweza kusema ni taaira mana anacheka cheka tu na kazubaa ka nn anatilisha huruma kwakweli
ushauri wa pili asikubali mana ataachwa mjane mda c mrefu
 
ila wakati wa msiba na ule wa kutupa udongo kaburini halahala asije akaishia kusema.........'juma nilikwambia uache hiyo kazi mume wangu nani atanioa mie, jamaaaaaani mume wangu jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

nalog off
 
kama wanapendana waoane na amfundishe naye kazi (tour guide) ili kipato cha familia kiwe kikubwa zaidi
loh! kuna dada mmoja aliishi na mkaka miaka 10 bila kujua ka jambazi mana mda wote yuko ndani ya suti na ana ofisi yake na kumejaa mifaili hiha na wafanya kazi wanaingia na kutoka ...........kumbe ile mifaili ni imejaa documents za watu mfano mtaa flani nyumba flani iko na nn ndani na kila kitu na wale wanaokuja na kuchukua mafaili mi vijambazi mtoto yani(majambazi madogomadogo) na yy ndio bosi wao anawapangia kazi loh! kuna wanaoenda kuchunguza na kujaza details ktk files na kuna wanaozitendea kazi so ofisini ni mpishano wa watu na mifile tu na masekretar kibao kumbe nao majizi loh!
cku walienda kuiba magari kenya na kuyavusha wakazidiana kete yy akauwawa akatupwa ziwa natron ndio mkewe anajua mumewe jambazi kumbe mana walikuja wenzie ndani na kubeba kila kitu huku wakisema mumeo hajakuambia kazi yake loh!
walibeba kila kitu koz aliwazidi kete wenzie walipouza yale magari
believe me dada alikua na mimba ya miezi saba alizimia 3day na mimba ilitoka na hadi leo yuko ka hana akili zuri yani kawa kama zuzu kwa mshtuko ule
na kila nikija tz namuona bado yuko home kwao mana ni jirani na ss.................yani ukimuona unaweza kusema ni taaira mana anacheka cheka tu na kazubaa ka nn anatilisha huruma kwakweli
ushauri wa pili asikubali mana ataachwa mjane mda c mrefu

bolded and red: 'usidhani wote humu jf ni matikiti maji ndugu'
 
@arusha,baba mngoni ,mama mchagga.

kagundua kuwa bf wake ni jambazi, baada ya kuiona bastola yake akamuuliza kwa upole bf akakubali ila akamuahidi anaitaji matukio matatu tu ila aachane na ujambazi.Anadai anataka mtaji wa kufungua duka la kuuza pikipiki za mchina hapa Arusha .Akadai strictly hajawai kuuwa na yuko makini hawezi kunaswa na akinaswa ana uhakika wa kutolewa.

Mdada kashampenda sana jamaa na anadai amewahi kuwa na mahusiano na wanne wote walimuacha ndani ya miezi isozidi sita ila huyu ndiye aliyedumu naye mwaka na nusu na mkaka kashamtambulisha kwao,mawifi zake (to be) wanampenda sana na always humwambia tunashukuru as now days kaka yetu yuko fucused anaijali familia, mipombe kapunguza, anaiheshimu kazi yake (tour guide),

Confidential: Mdada mwenyewe analipa (uzuri) kwa 40% na umri umesogea na jamaa yuko presentable 70%

kama mdada kampenda sana huyo mkaaakaaa, basi ampende kwa kumwambiea aache ujambazi, hahitaji matukio matatu zaidi. kwani maisha ni duka la pilipiki??, ivi anadhani wanaoua huwa wanapanga kuwa watu?. Binadamu ni wataalamu wa kutetea kupenda kwetu, tukionywa tunafunga masikio, ila yakiharibika ndiyo tunaanza kusema " wanaume si watu", "wana wake si watu"

eti aibe mara tatu zaidi ndo ataacha. ni kweli hakuna mwenye uhakika 100% kuwa hatakwenda jela , lakini moja ya risk dada anachukua ni kuwa kama jamaaa haachi manake 70% ya maisha ya jamaa ni kifo cha kuuawa+ jela.
 
bolded and red: 'usidhani wote humu jf ni matikiti maji ndugu'
i was there at that time so huwezi kuniambia kitu ww boga na sio story ya kutunga iyo wanaokaa arusha mitaa ya makao mapya mwaka 2000 nikiwa la saba kaloleni primary ndio ilitokea iyo na huyo kaka alikua maarufu chini ya mti stand kubwa alikua anpenda sana kunywa kahawa pale jioni......... na huyo kaka namjua sana na still namkumbuka alivokua
so waliokueko miaka hiyo wanaweza kusema ............mm naikumbuka koz ze victim is still leaving near to us so kila nikija na kumuona nakumbuka sana
so usifikiri kila mtu aanaleta habari za kutunga hapa kama ww ok
 
MARYTINA is that you sio?? mbona wamtetea sana?
pole.wanaume tumejaa tele ipo siku atauwa wazazi wako kwani jambazi hachagui esp anapojua katambuliwa
jirani yangu alikuwa ametoka job wakapitia bar fulani makongo wakapigishwa kwata la kulala chini
alitambua sauti ilokuwa inawaamrisha watoe kila kitu alinyanyua kichwa kumtazama kwani hakuamini kama rafikie ni jambazi
hakumwonea huruma alimmiminia risazi mbili kichwani na ndio kwanza aliacha mtoto wa mwezi moja. mwenzie hadi leo hakai tena bar
hawa viumbe sio watu ni balaa.
this is the life br!samaki mkubwa anameza mdogo.Hakuna tajiri ambaye hana criminal conduct in his life time.
Kwa hiyo huyo mdada abaki bila kuolewa????????????????
 
Jamani hii ni hatari sana,huyo dada amuache haraka sana huyo jambawazi.kwani kuna kituko nilikiona Nzega kuna mdada mmoja polisi aliolewa na jamaa kumbe ni jambawazi na wakaishi nae zaidi ya miaka 15 yeye bila kujua,kuna siku akaenda kuvamia mahali na wenzie,mmoja wao akabambwa na kumtaja.Akakamatwa msako ukafanywa kwake na wakakuta SMG juu ya dari yule dada polisi aliduwaa asijue la kufanya,alisimamishwa kazi ingawa baadaye alirudishwa ila yule jambazi alifia jela
 
tehe jamaa akishindwa kuua huko kwenye wizi atamuua huyo dada akimbie mapema jamaa hawaaminiki kabsaaa
 
Kuna story moja nataka ku shae na wana JF wenzangu!kuna mdada mmoja aliolewa na jamaa mmoja mfanyabiashara hapa dar,huyo jamaa alikua na hela chafu, alikua mfanya biashara wa magari,kumbe jamaa alikua jambazi,mdada wa watu kwa kupenda ready made uchumba miezi 6,ndoa ikafungwa,sasa siku moja usiku jamaa karudi usiku na washkaji zake,wakamuita shemeji yao,yaan mke wa huyo mshkaji,wakamuambia ee bwana shemeji hapa sie ni watu wa kazi,kwa hiyo tukikusikia umesema ama zako,wakatoa AK 47 wakaiweka mezani!mdada wa watu kulivyokucha katoka mbio mbaya!haikuchukua mda yule jamaa akauwawa na polisi walienda kufanyiza!angekomaa ungekuta amemzalisha na amebaki mpweke na familia!

Huyo mdada achukue hatua,aishie zake,manake hawa watu huwa hawaachi profession zao.

Hii ni true story kabisaaaaa!
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya Jambazi anayetumia bastola kuiba na....Yule anayetumia Kalamu, Siasa, Rushwa, Udanganyifu, wadhifa na vitu vingi ambavyo madhara yake ni wengi wanakufa kwa kukosa huduma za afya, dhiki, msongo wa mawazo kwa asilimia ya watu wengi, upungufu wa uwezo wa kufikiri na mambo mengine mengi ambayo indirectly yanasababisha vifo vya watu wengi katika jamii yetu.....

Kuna tofauti gani ya mke anayempokea jambazi akirudi toka kazini na mke anayempokea mtu niliyemwongelea hapo juu.... Je? Hao watu niliyeongelea hapo juu wako wangapi katika jamii yetu??
 
The future is uncertain namshauri aachane naye au kama kweli anampenda kwa dhati amsihi huyo bf aachane na hiyo deal ya ujambazi maana za mwizi ni 40
 
MARYTINA is that you sio?? mbona wamtetea sana?
pole.wanaume tumejaa tele ipo siku atauwa wazazi wako kwani jambazi hachagui esp anapojua katambuliwa
jirani yangu alikuwa ametoka job wakapitia bar fulani makongo wakapigishwa kwata la kulala chini
alitambua sauti ilokuwa inawaamrisha watoe kila kitu alinyanyua kichwa kumtazama kwani hakuamini kama rafikie ni jambazi
hakumwonea huruma alimmiminia risazi mbili kichwani na ndio kwanza aliacha mtoto wa mwezi moja. mwenzie hadi leo hakai tena bar
hawa viumbe sio watu ni balaa.
hapana sio mimi.
Wanaume mupo wengi ila wa maana ni wachache sasa shosti angu akimwacha jamaa itamchukua muda mrefu kumpata mwingine
 
Huyo dada namshauri aachane na huyo jambazi but kwa kutumia akili coz huyo mtu anaweza mdhuru km akiondoka kwa kutumia sababu ya ujambazi,pili kuhusu sijui shepu na umri mbona sio sababu ya msingi na mtu kuogopa mpaka ajisalimishe kwa jambazi?
Mbona hao wenye hayo mashepu wako kibao mtaani na hawajaolewa?
Mbona mabinti kibao wanaolewa na umri ukiwa umeenda sana tu!
Namshauri wala hayo yasimwogopeshe,atoke kwa jambazi mungu atampa wa kufanana naye!
 
bora amwache yeye-coz kwenye hayo matukio 3 anayotaka kufanya moja laweza mpoteza huyo mr wake,na pia anaweza kumaliza hayo matukio yake 3 bado hela ikawa haitoshi,akaongeza matukio mengine ambayo yatakuja kum-cost-bora huyo msichana atafute myu mwingine
 
Back
Top Bottom