hehehe! Ntakuchafuliaje cv hukoo! Lol. Utajuta kuntafuta.
he he he he! tena nitakuja na ushahidi wa pm zako , sms zako hapa jamvini kuwa eti nisikutaje jina....halafu nitakukomeshaje nitakavyosimulia kwa staili ya mjeda CHAI CHUNGU ,mashabiki kibaoooo.
hahahahaha!!! ntauplodiaje miphoto yako!!! ntawatajiaje watu kazi unayo fanya...... ntawaoneshaje msgs zako za mpesa na za malavidavi. lazma ufungue ID nyingine au urudi zako fb. lol
shost leo upo night shift????
we acha tu!!! hii kazi ya usekyuriti ishaanza kunishinda. na wewe hulali????
Umbea unanisumbua tu hapa nausingizi balaaa
hahahahaha!!! ntauplodiaje miphoto yako!!! ntawatajiaje watu kazi unayo fanya...... ntawaoneshaje msgs zako za mpesa na za malavidavi. lazma ufungue ID nyingine au urudi zako fb. lol
teh teh teh! hapo kwenye photo nitatoa mpaka zile utakazokuwa unanipigia magoti kulbembelezea penzi langu lol! mbona utajuutaaa kuniona wewe ,utatamani tungeisha [m eti
inamaana umeshindwa kuniganda mpaka ukumbatie midoli,lala shost. mi hapa sina usingizi. nimekumbatia midoli weee hadi nimechoka ila wapi!! nimeona niingie jf nikumbatiane na vivuli. lol
mwambie mkeo hii habari.