Mdada aliyetia fora katika Zari All White Party

Mdada aliyetia fora katika Zari All White Party

Hii ndo taabu ya kutokuwa na magreat thinkers ktk nchi, jambo dogo linapewa attention kuubwa! Unadhan atakayefuatia baada ya huyo atafanya nn, sitashangaa mtu akienda na chupi next time
 
Hii ndo taabu ya kutokuwa na magreat thinkers ktk nchi, jambo dogo linapewa attention kuubwa! Unadhan atakayefuatia baada ya huyo atafanya nn, sitashangaa mtu akienda na chupi next time
Last time alienda na pampas
 
daah oya si useme tu ulikuwa juu ya mawe, hayo ya sijui kijana makini sijui nini yanatoka wapi, huo mzuka haukuwa wa watu wenye hela za mawazo. VUNJA MIFUPA WAKATI MENO IKO. Dizaini yako ndo full kusumbua vijana uzeeni mkizinyaka.
Haaa!,kumbe nlikugusa pole bro,hongera kwa kuwa mweupe,uloenda kuwashangaa weupe wenzako
 
Malaya wala uhitaji elimu kumtambua huyo dada ni malaya sugu
 
Una maana kuwa sugu aliwahi kuwekeza hapo?????anauzia wapi huyu?
mzee, huyo alikuwa mchumba wa sungu, ameishi naye miaka kadhaa bila ndoa na wamezaa mtoto mmoja. ni mtalikiwa wa sugu huyo. hakika sugu alikuwa na mzigo mzito sana kuishi na mwanamke mwenye kichwa kama hicho ndani miaka yote ile?
 
Mtu aliyevaa shati/blauzi pekee ndio katia fora 😕 hii dunia ina mambo sana
 
imgres.jpg
"Ujana ni nusu ya uwendaazimu".
 
MUNGU ameifanya dunia kuwa mahali pazuli pa kuishi lakini wanadamu kila iitwapo leo wanawaza mabaya tu mioyoni mwao.
EE MWENYEZI MUNGU UTUREHEMU.
 
Hiyo miguu imekomaa mno kama kuku aliyebanikwa
 
Hapo angeweka belt kiunoni ili kiuno kionekane na angevaa japo shorts nyeupe chini..Make up angepiga smokey eye na nude/natural lip mngetoa macho wote ka mjusi kabanwa na mlango!!na nywele angefumua tu akaachia afro zingemtoa zaidi 🙂
images-6.jpeg
2015-05-02-18-46-10-1239856387.jpeg
 
Wanaume tuache unafki,wengi wetu tunapenda kuona hivyo vitu...tukija kwenye sehem kama hizi tunajikosha,wengine jana tu mlokuwa kwenye madanguro ya machangu
 
Back
Top Bottom