salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Huwa simuamini kabisa kiumbe mwenye K
Hasa K yenyewe ikiwa haibabuliwi fresh
Huwa simuamini kabisa kiumbe mwenye K
Elimu bila ibada ni sawa na mtu aliye gizani.hao wadada kwa picha wapo gizani tu.
Una maana kuwa sugu aliwahi kuwekeza hapo?????anauzia wapi huyu?
Sugu alikuwa sahihi kumtema
White party
Mmhhh huyu ni zaidi ya mwendawazimu..
Kijana makini,na mwenye akili timamu na malengo sahihi ya baadae,hawezi kushiriki kwe ujinga huu ulopewa jina la white party,poleni sana mnapenda raha wakati maisha maboooooovu,poleni sana,
Atakuwa mwenda kichaa
Wahehe na walugulu wataandamana wewe.
Ni kweli mkuu,wapo gizani japo wao wanadhani wajanja,afu asilimia kubwa ya vijana wa dar wana ndoto za mafanikio wakati hawajui kanuni za mafanikio,utakuta kijana ana godoro tu,na ki chumba kimoja,anakichanga kwa muda ili tu kupata 50000 ya kuingia party na kunywa,wakati kwa sisi wa mikoani hiyo 50 namwaga tripu ya mchanga wa kujenga,mwisho wa siku umri unaenda hakuna chochote cha maana mtu kafanya zaidi ya sifa za kujirusha tu,acheni ushamba fanyeni kazi wekeni akiba ya uzeeni msije ishia kuwa omba omba uzeeni