kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
- Thread starter
- #81
Ingekuwa hivyo Sugu asingemuacha! Tupa kule siasa za majitaka Msalani.Huyu akili zake hazina tofauti na za SUGU!
Ingekuwa hivyo Sugu asingemuacha! Tupa kule siasa za majitaka Msalani.Huyu akili zake hazina tofauti na za SUGU!
huyu amnazo,kifupi anatafuta umaarufu kwa nguvu,and its foolish:sad::alien:
Hapo angeweka belt kiunoni ili kiuno kionekane na angevaa japo shorts nyeupe chini..Make up angepiga smokey eye na nude/natural lip mngetoa macho wote ka mjusi kabanwa na mlango!!na nywele angefumua tu akaachia afro zingemtoa zaidi 🙂
View attachment 248719
View attachment 248721
Mchokozi wewe...nikipata mtaji tu looolHiyo kaptula/shorts ya juu nimeipenda, lini unafungua duka lako la fashion zilizoenda shule? lol!
Mchokozi wewe...nikipata mtaji tu loool
Huyo anayemuhoji na anayehojiwa wote hakuna kitu kichwani, kwani sioni tofauti yao.
Huwa simuamini kabisa kiumbe mwenye K
mimi huwa naokota vimeo ila hapa sugu alinizidi
weka cha kwako tufanye comparison!
Fainali uzeenidaah oya si useme tu ulikuwa juu ya mawe, hayo ya sijui kijana makini sijui nini yanatoka wapi, huo mzuka haukuwa wa watu wenye hela za mawazo. VUNJA MIFUPA WAKATI MENO IKO. Dizaini yako ndo full kusumbua vijana uzeeni mkizinyaka.
Sikiliza XO..ya joh makin..halo ndio kina kadashian..yaan kichwani Hamna kitu dash yani