Mdada alieko free kesho tufunge ndoa

Mdada alieko free kesho tufunge ndoa

Yan sijawah ona janamume linakaza mbele ya pisi....
We tuigizie hapa akufate PM aseme amekumic anataka umfate Arusha af uuze Radio ndani umfate kweli na kichwa hicho .

🥴
chukua kawe wewe hiyo nafasi ya tatu maana naona unawinda hiyo nafasi.
 
Hawezi huyooo,, halafu single maza bila chupa mbili za drostdyhof na Kilimanjaro kumi kisimi hakiwezi simama maisha

Hapa Sasa maji yashaanza kuzidi unga .... Mpishi nisipokimbia basi mjue nimefungwa Kamba miguuni. 😁😁😁
 
Kabisa
Kinaanzaje kusimama wakati hakijapata stimu?
We 0005 Njoo huku

Uweeeee. Nashukuru hii ndoa haijafungwa .... Mnataka kuniheuza waiter na sio mme.

Af nguvu za kiume kwa stimu hizi nazitoa wapi Mimi 🤣🤣🙏🤣🤣

Nusratt naomba nitafutie ulinzi Mimi tiar yamenishindaaaa.
 
Back
Top Bottom