Mdada alieko free kesho tufunge ndoa

Mdada alieko free kesho tufunge ndoa

Process za kufikia lengo la ndoa unazijua?

Kwanini msianze mapenzi ya zimamoto kwanza?

Ndoa ya ghafla ni tamu kwa mtu mnayefahamiana bhana, yaani mnafanyiana supprise.

Sasa ukiongelea nnaowafaham ...

Ni Numbisa na Lamomy Hawa watu ni miongoni mwa Jf members wenye post nyingi kuliko wote. ... that's the only thing I know about them .

Ila Mimi hawanijui ...

Ko hicho kogezo potezea ... Nataka alieko free jamani. Naomba Ani PM.
 
Nshakwambia Niko taken.unatafuta kubakwa kilazima?



Anyway ndoa yenyewe ni ya mkeka ?


Nimempaaaaaaata mmoja... Ngoja nione akinasa.
Tunamwita Lamomy na moderator mmoja bas watufungishe chap.

Hii ndoa so ya mkeka Wala Sio ya church ni ya JF....
 
kuna baadhi ya wadada watazugazuga hapa lakini watafurika huko pm walikoitwa..

Kiongozi. Mwenyewe nikipata wakienyeji mmoja mbona naunga tyuuuuu. Af inakua milele ....

Maisha yenyewe haya haleluya tu mze.
 
JF ina wanawake wahuni sana, Nimecheka hizo comments!

Hebu muende mkaolewe muache ujeuri 😂😂😂


Ah.

Ujue insta huko wadada wanachangamshwa .. Huku kutwa wadada tutajadili nao no election. Sasa siku moja moja tunawakumbusha Mambo muhim then tunard kune Mambo ya great thinking.
 
Ah.

Ujue insta huko wadada wanachangamshwa .. Huku kutwa wadada tutajadili nao no election. Sasa siku moja moja tunawakumbusha Mambo muhim then tunard kune Mambo ya great thinking.
Kweli mdada kama Rebeca utamwambia nini akuelewe? Mbishi kama Halima Mdee..

I like her tho!

Wote tuko hivyo hivyo tunatofautiana kiwango.
 
Ndoa ya hivi aliolewa dada yangu mmoja walikutana club ,asubuhi sheikh kachoma ubani baada ya wiki dada yule ana mkovu mkubwa kichwani na tumaneno twa wanaume wote mbwa tunamtoka 😀

Haha. Kikamasi kilimtoka mapema Sana....angetulia hata mwaka..


Af japo ndoa za Kukutana club mzee.
Mara nyingi wanaume ndo tunapigwa na vitu vizito.
 
Back
Top Bottom