Mdada alieko free kesho tufunge ndoa

Mdada alieko free kesho tufunge ndoa

Haha. Kikamasi kilimtoka mapema Sana....angetulia hata mwaka..

Af japo ndoa za Kukutana club mzee.
Mara nyingi wanaume ndo tunapigwa na vitu vizito.
Ni kweli sisi upata majanga sana ila yeye alimpasua bichwa lake maana aliona lina minywele mingi ila halina akili
 
IMG_4833.jpeg
 
Unigawie wa kufunga naye ndoSome timez ilimradi haiumizi hesabu, afya au status yako ... Fanya maamuzi ya kuushtua moyo wako kwa furaha ... utakuja kujishukuru siku unakufa .....
Sababu Kama mwanadamu unahitaji pia Mambo kias flan ya kukufurahisha yakaweka alama / kumbukumbu ya furaha ktk maisha. ....

Anyway mdada alieko free tuoane kesho tafadhari ??? Yan kesho tu .... 😂😂😂
Ukipata wengi unigawie mmoja wa kufunga naye ndoa June
 
Evelyn tafadhari ... Nimepewa target nije kwako ... Naomba anguka kabla sjakurushia mshale wa kopa 😎😎.

Ukufe penzini mwangu ukaamke kesho . Masaa 24 yatakapo kamili na ndoa yetu ku expire ,❤️🙏❤️
Uko wapi sahivi? Shela na pete nnavyo hapa mkononi, uje na ua tu
 
Sasa ukiongelea nnaowafaham ...

Ni Numbisa na Lamomy Hawa watu ni miongoni mwa Jf members wenye post nyingi kuliko wote. ... that's the only thing I know about them .

Ila Mimi hawanijui ...

Ko hicho kogezo potezea ... Nataka alieko free jamani. Naomba Ani PM.
Kabla hata hujajieleza sana wewe ni Penseli a.k.a django 😹😹😹

Yani tone yako ya ujinga haijawahi kubadilika 🤣
 
Kabla hata hujajieleza sana wewe ni Penseli a.k.a django 😹😹😹

Yani tone yako ya ujinga haijawahi kubadilika 🤣

Mimi Sio huyo Ila kiukweli unanijua Lamomy ...
Subiri kidogo ntaja nikuchane . Nimebadiri ID kwa sabab flan flan... Ngoja uchaguzi upoteee 😂😂😂.

Sema kimeumana ??
 
Uko wapi sahivi? Shela na pete nnavyo hapa mkononi, uje na ua tu

Ahaha. Hatimaye nimempata msela nondo.

Ya I wewe nikikuoa. Jumamosi tunaamka tunaamua tuuze kile kitu tuhamie zetu kwa madiba .. tunauza kweli na tunaenda. 😂🙏❤️.
 
Mimi Sio huyo Ila kiukweli unanijua Lamomy ...
Subiri kidogo ntaja nikuchane . Nimebadiri ID kwa sabab flan flan... Ngoja uchaguzi upoteee 😂😂😂.

Sema kimeumana ??
Em kwender kule, nakujulia wapi mimi wewe?? 😹😹

Unichane au tuchanane? Uchaguzi unagombea jimbo gani? Mfyuuu 🤣

Manyanza hi 👋
 
Ahaha. Hatimaye nimempata msela nondo.

Ya I wewe nikikuoa. Jumamosi tunaamka tunaamua tuuze kile kitu tuhamie zetu kwa madiba .. tunauza kweli na tunaenda. 😂🙏❤️.
Tunauza vyetu tunauza na vya majirani tunaondoka
 
Back
Top Bottom