Mda muafaka wa kuengage in lovemaking baada ya kuanza relationship mpya!

Mda muafaka wa kuengage in lovemaking baada ya kuanza relationship mpya!

Hahaaaaa...... Hakuna formula!

Kuna ambao walikutana siku ya kwanza na wakapichuana na wakadumu kwa muda mrefu na wengine wakaenda mbali mpaka ndoa. Lakini wengine wakakutana siku ya kwanza wakapichuana na hawakurudiana tena... Ndo kwaheri!

Kuna ambao wamezungushanaaaa mpaka wakakata tamaa baada ya miaka wakapichuana mwishowe wakaamua kuoana.... Ila kuna wengine walizungushana baada ya kupichuana hawakuendelea na relatioship...

All i can say hakuna muda maalum!!!!!!!
 
binafsi nafikiri mwaka mmoja na kwenda mbele inatosha kumuelewa mpenz wako na kuanza kudinyana. hatutakiwi kuogopa kusubiri, kama wako wako tu na kama haijapangwa hata ukeshe ukisali maombi hayatajibiwa.
 
Mi inategemea umekujaje...kama umekuja kwa gia oooh smile nataka kukuoa utasubiri ndoa
kama unaomba tu inategemea kama nikikupenda nakupa tu anytime
bahati nzuri au mbaya wengi wanaomba kwa jina la ndoa ....na mimi nawaambia subirini tuone hizo ndoa zenu...
Bikra yangu ina tabu kweli

si wanaona wakitangaza ndoa ndio utatoa kidude chap chap. chezeiyaaa meeeen!!!
 
Back
Top Bottom