BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Inategemea na speed yako , ndani ya Mitoko 2 unaweza puliza kimwana au angalau ukapata chakula cha uchoyo
chakula cha uchoyo ndo nn icho.
Inategemea na speed yako , ndani ya Mitoko 2 unaweza puliza kimwana au angalau ukapata chakula cha uchoyo
Is that what I said? Usini feed maneno best
hivo hivo
Teh teh
Hahaha haya we...sasa sijui mtu utafanya shaking how many times...
umemulikwa eenh!!!
..like like likeaiseeee ni hili halina formular kabisa labda kama mtu asubiri mpaka akisha wekwa ndani hapo ndio anakuwa amejihakikishia kuwa anamkabidhi mtu salama. na hayo yote yanakuja kutokana na hofu ya wanawake kutumika tuu alaf na kuachwa.
Kuna wengine wanaweka mtego kabisa na wala hawaombi kabisa na mtu anafikiri huyu ndio nimepata kumbe ni mtego na hapo ndio msichana anapo jihakikishia kuwa anapendwa na akisha mkabidhi tuu hapo ndipo sura halisi ya mwenzie anaijua, tatizo wanawake muda mwingine wanachukulia sex kama kutumika ila wana sahau kuwa ni hitaji na ukikaa na mtu muda mrefu let say miezi 3 ajakuomba inabidi umuulize anapata wapi kama akuombi wewe?
Kuna muda unaweza fikiri ni wakati wa kumpa kumbe ndio wakati wa kunasa kwenye mtego, sisi binadamu tunabadilika sana kutokana na mazingira na mtu anapo kufata anakuwa ameshapiga mahesabu kabisa kuwa huyu ndani ya kipindi hiki lazima anase.
Either umempa penzi baada ya miezi miwili au baada ya miezi sita bado unaweza usiwe safe kabisa labda yule nayetoa baada ya ndoa. kwa sababu lengo la kuuliza ni kipindi gani ni muafaka kutoa penzi ni kuangalia kama utakuwa safe lakini ukweli ni kwamba huwezi kuwa safe kama una play out of marriage, unaweza kulia wakati wowote hule.
Kuna watu wanafunga safari kwenda kujitambulisha hili tuu kuwin trust ya mtu alaf wakishapata penzi mbioooo..............
Ni vigumu kujua ni lini wakati muafaka hasa ukizingatia binadamu tuko complex sana.
Lakini lazima tujue tunapo jiingiza kwenye mahusiano ni kama tuna take risk na tusiwe tuna tegemea makubwa sanaaaaa
Mi inategemea umekujaje...kama umekuja kwa gia oooh smile nataka kukuoa utasubiri ndoa
kama unaomba tu inategemea kama nikikupenda nakupa tu anytime
bahati nzuri au mbaya wengi wanaomba kwa jina la ndoa ....na mimi nawaambia subirini tuone hizo ndoa zenu...
Bikra yangu ina tabu kweli
Inategemea na intention ya husiano hilo!!!!!!
1. Kama relationship ni kwa ajili ya kampani unaweza vuta a month or so as unataka mtu wa kukaa naye kimapenzi na kampani za hapa na pale,movies,club hata ukijisikia vibaya akusindikize hospital
2. Unawinda mchumba sasa hapa muda haujalishi as wewe ushalenga na una permanent interest so the later the better as unapata muda mrefu wa kuwa objective maana ukishaanza ile mambo na ukakutana na fundi then objectivity becomes questionable!!Hapa ni mpaka lengo litimie ila nia lazima ionekane kama vile upo kwa chakula na kulala sio take away,kwa hiyo unaachia nature to lead the course.
3. Na kama ni mke ha aha aha aha ahaaaaa wakichelewa kufungua mziki unaenda kwenye limo kukata utepe halafu tafrija iendeleee
Kibibi Jongo na Heaven on earth njoo huku
Majengo huwa mnazindua kwa mbio za mwenge au ujenzi ukikamilika tu????!!!!
aiseeee ni hili halina formular kabisa labda kama mtu asubiri mpaka akisha wekwa ndani hapo ndio anakuwa amejihakikishia kuwa anamkabidhi mtu salama. na hayo yote yanakuja kutokana na hofu ya wanawake kutumika tuu alaf na kuachwa.
Kuna wengine wanaweka mtego kabisa na wala hawaombi kabisa na mtu anafikiri huyu ndio nimepata kumbe ni mtego na hapo ndio msichana anapo jihakikishia kuwa anapendwa na akisha mkabidhi tuu hapo ndipo sura halisi ya mwenzie anaijua, tatizo wanawake muda mwingine wanachukulia sex kama kutumika ila wana sahau kuwa ni hitaji na ukikaa na mtu muda mrefu let say miezi 3 ajakuomba inabidi umuulize anapata wapi kama akuombi wewe?
Kuna muda unaweza fikiri ni wakati wa kumpa kumbe ndio wakati wa kunasa kwenye mtego, sisi binadamu tunabadilika sana kutokana na mazingira na mtu anapo kufata anakuwa ameshapiga mahesabu kabisa kuwa huyu ndani ya kipindi hiki lazima anase.
Either umempa penzi baada ya miezi miwili au baada ya miezi sita bado unaweza usiwe safe kabisa labda yule nayetoa baada ya ndoa. kwa sababu lengo la kuuliza ni kipindi gani ni muafaka kutoa penzi ni kuangalia kama utakuwa safe lakini ukweli ni kwamba huwezi kuwa safe kama una play out of marriage, unaweza kulia wakati wowote hule.
Kuna watu wanafunga safari kwenda kujitambulisha hili tuu kuwin trust ya mtu alaf wakishapata penzi mbioooo..............
Ni vigumu kujua ni lini wakati muafaka hasa ukizingatia binadamu tuko complex sana.
Lakini lazima tujue tunapo jiingiza kwenye mahusiano ni kama tuna take risk na tusiwe tuna tegemea makubwa sanaaaaa
aiseeee ni hili halina formular kabisa labda kama mtu asubiri mpaka akisha wekwa ndani hapo ndio anakuwa amejihakikishia kuwa anamkabidhi mtu salama. na hayo yote yanakuja kutokana na hofu ya wanawake kutumika tuu alaf na kuachwa.
Kuna wengine wanaweka mtego kabisa na wala hawaombi kabisa na mtu anafikiri huyu ndio nimepata kumbe ni mtego na hapo ndio msichana anapo jihakikishia kuwa anapendwa na akisha mkabidhi tuu hapo ndipo sura halisi ya mwenzie anaijua, tatizo wanawake muda mwingine wanachukulia sex kama kutumika ila wana sahau kuwa ni hitaji na ukikaa na mtu muda mrefu let say miezi 3 ajakuomba inabidi umuulize anapata wapi kama akuombi wewe?
Kuna muda unaweza fikiri ni wakati wa kumpa kumbe ndio wakati wa kunasa kwenye mtego, sisi binadamu tunabadilika sana kutokana na mazingira na mtu anapo kufata anakuwa ameshapiga mahesabu kabisa kuwa huyu ndani ya kipindi hiki lazima anase.
Either umempa penzi baada ya miezi miwili au baada ya miezi sita bado unaweza usiwe safe kabisa labda yule nayetoa baada ya ndoa. kwa sababu lengo la kuuliza ni kipindi gani ni muafaka kutoa penzi ni kuangalia kama utakuwa safe lakini ukweli ni kwamba huwezi kuwa safe kama una play out of marriage, unaweza kulia wakati wowote hule.
Kuna watu wanafunga safari kwenda kujitambulisha hili tuu kuwin trust ya mtu alaf wakishapata penzi mbioooo..............
Ni vigumu kujua ni lini wakati muafaka hasa ukizingatia binadamu tuko complex sana.
Lakini lazima tujue tunapo jiingiza kwenye mahusiano ni kama tuna take risk na tusiwe tuna tegemea makubwa sanaaaaa
Hahahahaaaaaa...... tuje wp? leo nilikua nam entertain Mr. so nimekosa uhondo JF! Anyway hii mambo y kusema unasubiri mjengo uishe hakunaga cku hizi! Hii bana haijakaa vzr na wanawake hapa huwa tunachezaga patapotea tuu!
Mwingine ukimbania sana anaanza!
Ni kuomba Mungu!
Ndo mana wanawake ni muhim kusubiri ndoa manake ukigawa mwishowe unaitwa lile jina..... aaaaaagr!
Hapana kaka, mi nimeshafunga miguu yangu kitambo,uje kwa gia ya ndoa/kampan/frndship watever the case, itakuwa ngumu! Hutaki unaacha,najua yupo atakaeweza hence najiamini nipo vzr wala cna shaka