lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,223
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!
Hii ni kwa watu wazima from 23 YEARS, below that age inatakiwa uwe unachukua degrees na masters instead of sleeping arround! (You thank me latter fro telling you this!) Uko underage kwa haya masuala hivo hauko credible kushauri hapa. I suggest you should grab a book and read instead!
Kwa wale tulio kwenye roller coaster of life je ni mda gani ambao ni REASONABLE unaoweza kumruhsu mkaka/mdada ainspect the house down stairs. If you are young you can always blame it on the age ila now since umepevuka more is expected from you!
1. Ukiwa mkaka ukiwahi kuomba utaonekana hit and run na ukichelewa utajikuta ushatupwa kwenye friends zone! You need to close that deal in heavy calculation. THE BROTHER JUST GOTTA KNOW WHEN SHE WANTS!!!!!! Ukifanya haste unaonekana muhuni, ndo unachokitaka! Matokeo yake hupewi kitu kabisaaa! Ukichelewa na kuleta subra nyingi utakuta ushageuzwa my friend!
2. Ukiwa mdada, always men wanatoa signal ya kuzengea zengea jirani kama fisi, sasa hapo akili kumkichwa WHAT TIME UMPE GO AHEAD SIGNAL!!!!! If ukitoa go ahead mapema atakuona so easy! You gotta make him sweat for it a little! Na ukimzungusha sanaaa utakuta keshaziraa siku nyingi hataki tena! YOU JUST GOTTA KNOW THE RIGHT TIME!
I understand kuna zile he wants it, you want it too, unamake exception na mnajiachia kwa raha zenu na kulaumu circumstances baadae! Ila its risky!
Sasa naomba tujadili kama watu wazima when is the RIGHT TIME? After 3 dinner dates and outings? After a month or 6? HOW LONG? Ofcourse kwa umri huu huwezi jifanya its not expected of you kushare the expeience na mwenzio!
N.B Hapa nazungumzia RELATIONSHIP! Sio 1 night stands, friendly matches and heat n run!
KARIBUNI KWA MAWAZO