Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,897
- 5,190
- Thread starter
- #21
Siku izi tunasajiriwa na serikal ivyo tunafanya kaz popote na nchi YOYOTE tunafanya kazKama ni hivyo, fanyeni namna ya kuboresha kazi kwa kuweka udhibiti wa ubora - TBS.
Wenzenu makanjanja wanauza majibu na udongo wakidai ni tiba.