Mchuzi wa thupu

Mchuzi wa thupu

Yes mkuu, alikua anakula hatareeeee! Kila siku lazima abebe hotpot na tumbo lake jioni jioni huyooooo road, akirudi anakula na mkate.
Mie nilikuwa nakula barabarani hapohapo. Sada kuna siku jamaa akawa hayupo aisee nilihangaika kumtafuta dah nikarudi home sina raha. Nashukuru MUngu baadae nikaanza kupenda ubuyu nikaachana na mambo ya pweza.
 
Daaaaaaa ukishapata hiyo unatafuta na gahawaa kama vikombe viwili kisha unamalizia na grand malt moja hahahaaaa kitakachofuata mie simoooo
 
ccf5ac7ce9558c5d74cbe4327ad29d7c.jpg
ina kazi gani hyo thupu...mzee mwenzangu
 
Kwanza awe m bichi (sio aliekaa kwwnye friji mwezi) pili umchemshe kwa kawiada tu na tangawizi kidogo
umle angalau masaa matatu kabla ya game
Na iwe wa angalau nusu kilo
ukiyafanya hayo utatuleta mrejesho tu
 
Back
Top Bottom