Kamanda hii huanzia buku 5. Amini ni kiwango kuliko ya kuku wa keinyejiEmbu nitilie ya buku mbili hapo fasta
Kwa lipo?Supu ya pweza inawafaa wanaume wa Dar
Kamanda hii huanzia buku 5. Amini ni kiwango kuliko ya kuku wa keinyeji
Kwani kijijini kwenu kuna pweza?Supu ya pweza inawafaa wanaume wa Dar
Kwani watani zangu Wapare,pweza anapatikana kwenye "Bahari" yenu ya nyumba ya Mungu???Ila sitoi risiti
Dar wahuni babake, wanachanganya na super shaft ya mzungu.Hiyo ya dar haina lolote unatakiwa upate kitu chenyewe uone shughuli yake
Ahahaaaaaa, nahisi we ni mke wangu mama Salma..!Octopus .....dah tamu sana nakumbuka kipindi cha mimba mpaka nipate supu yake na vipande vyake ndiyo naenda home .
Hapana mkuu mie nina mtoto wa kiume. Dah mama salma alikuwa mpenzi wa pweza kama mimi.Ahahaaaaaa, nahisi we ni mke wangu mama Salma..!
Yes mkuu, alikua anakula hatareeeee! Kila siku lazima abebe hotpot na tumbo lake jioni jioni huyooooo road, akirudi anakula na mkate.Hapana mkuu mie nina mtoto wa kiume. Dah mama salma alikuwa mpenzi wa pweza kama mimi.