Kumbuka kwenye uislam kuna fursa ya kuoa mke wa pili. Hata kama uliboronga waweza kuoa tena.KATIKA DINI YA KIISLAAM...HUWA TUNASISITIZA KAMA WATU WAMEPENDANA NA SABABU ZA KUOANA ZIPO...WAOZESHWE HARAKA KABISA BILA KUCHELEWA...KUEPUSHA FITNA KAMA HIZO...(na fitna ndio hiyo)...
SIO KWAMBA UISLAAM HAUJALI AFYA...LAKINI HATA KAMA MKIPIMA...NYIE HUSIKA PEKEE YENU HAYO MAJIBU NDIO YANAWAHUSU...NA NI MAKUBALIANO YENU WENYEWE KAMA MMOJA WAPO AMEATHIRIKA...LAKINI DINI HAIRUHUSU MTU KUJIINGIZA KWENYE SHARI MWENYEWE...
Sent using Jamii Forums mobile app
KATIKA DINI YA KIISLAAM...HUWA TUNASISITIZA KAMA WATU WAMEPENDANA NA SABABU ZA KUOANA ZIPO...WAOZESHWE HARAKA KABISA BILA KUCHELEWA...KUEPUSHA FITNA KAMA HIZO...(na fitna ndio hiyo)...
SIO KWAMBA UISLAAM HAUJALI AFYA...LAKINI HATA KAMA MKIPIMA...NYIE HUSIKA PEKEE YENU HAYO MAJIBU NDIO YANAWAHUSU...NA NI MAKUBALIANO YENU WENYEWE KAMA MMOJA WAPO AMEATHIRIKA...LAKINI DINI HAIRUHUSU MTU KUJIINGIZA KWENYE SHARI MWENYEWE...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka kwenye uislam kuna fursa ya kuoa mke wa pili. Hata kama uliboronga waweza kuoa tena.
Kwenye ukristo ndoa ni moja, hivyo ni vyema kuchunguza usije juta maisha yako yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kila dr anaetibu kwenye hospital za wakatoriki ni mkatoriki acha kukalili..afu siku nyingine uache uzwazawa unapewa bahasha ya majibu yako ya ukimwi na wewe unaipeleka hivyohivyo bila kujua kilichomo??