Huwezi kuwatumikia mabwana wawili (SIASA na DINI) kwa wakati mmoja watakupasua msamba.
Huyu mama Rwakatare ni mjasiriamali kwa mgongo wa dini. Jiulize tangu lini born again wakaamini
mambo saint? hiyo ni imani ya wakatoliki. Lakini kwakuwa shule za St huwa zinafanya vizuri, ili kuvutia
wateja shule zake ameamua kuziita St Marys kinyume kabisa na imani yake.
No disrespect to women, lakini Yesu aliyafahamu haya yote ndiyo maana katika mitume wake 12
hakuwepo hata mwanamke mmoja! Sio kwamba Yesu hakuwaona wanawake enzi hizo.
Huyu Mama ni tapeli ndiyo maana alishindwa hata kumkemea Daktari mwenzake feki (MB) Dr. Mary Mwanjelwa (MB)
pale alipoiba taulo hotelini Arusha wakati walipokwenda wote kwenye sherehe za harusi.
Juzi nikamsikia clouds FM akitoa somo la jinsi ya kuishi katika ndoa! Kweli maajabu hayaishi katika dunia hii
yeye mwenyewe ndoa yake imemshinda, sasa ni somo ngani anaweza kutoa kwa wana ndoa? Bado eti
kuna watu wanamsikiliza.
Au ndiyo yale ya wachungaji/mapadri wanaosema kwamba usifuate ninayotenda bali fuata ninachosema?!
Hivi ndugu zangu kama Yesu angekuja na "kauli mbiu" hiyo kweli angepata wafuasi? madhabahuni anakataza uzinzi,
usiku anangeuka mteja mkubwa wa machangudoa, anakataza kuiba usiku anageuka jamabazi mkubwa wa kutumia silaha, usiseme uongo yeye ndiye anakuwa bingwa uongo, kweli Yesu angepata wafuasi?
Matendo na maneno lazima yaendane, Mama Rwakatare ni tapeli mkubwa, nashangaa wasomi na misuti yao wanapoteza
mda kumsikiliza.