Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!

mmh...huyu mwandishi wa hii post alikosa kabisa cha kuandika. hata kama amelipwa atakuwa amelipwa sh ngap kwa kuandika urojo kama huu? ingefaa watu wawe wanapimwa akili zao kabla hawapost mataka taka kama haya.mnazipa server mzigo wa bure tu maskin...na nyie mods mnalala sana mnapoacha thread kama hizi....
 
Kwani hao si wanatafuta ridhiki baada umaskini ulioletwa naccm
 
Amalize Vimeo kwanza ndipo alete porojo,
 
Mama kashiba kweli ndio akasema hivyo, hajui kuwa hizo ngoma za uswazi ni kiliwazo cha maisha magumu ya mamilioni ya watu masikini Tanzania.

Mama Rwakatare maliza Vimeo kwanza kisha ndipo uje na story
 

We Chizi!? Sina njaa...chizi!
 

Mwambie Mama Rwakatare amlipe Haki zake Mzee Ngonyani wa kule Kawe ,Maana inaelekea wewe ni Mtu wake wa Karibu kwa jinsi unsvyojaribu kumtetea ! Mwambie Mama mchungaji lipa Haki ya Mzee Ngonyani uondokane na Laana ya huyo Mzee masikini kisha uje na hoja za kumtetea .
 
Laaana ya Mzee Ngonyani wa Kule Kawe imemganda mama Mchungaji ndio Maana kule Bungeni Hana hoja zenye Mvuto,ebu fikiria Mama mchungaji ametumia Pesa nyingi kuzuia Haki ya Mzee ngonyani ! Kulipo pesa anayodaiwa ! Wapo wajanja(wakora)wamejipenyeza kwa Mama Rwakatare wakavuta Mkwanja mkubwa kwa Ahadi ya kumsaidia kukwepa kumlipa Haki zake Mzee Fukara Ngonyani,yaani wajanja wamevuna Pesa kijanja toka kwa Mama mchungaji kwa lengo la kumsaidia kukwepa Jukumu lake( kufa kufaana) pesa iliyotumika kukwepa ni kubwa kuliko pesa Harisi ! Wasiliana na 0656005556 na 0783893505 Mzee Ngonyani wa Kawe atakupeni Live tuhuma juu ya Haki zake .
 
Mama kashiba kweli ndio akasema hivyo, hajui kuwa hizo ngoma za uswazi ni kiliwazo cha maisha magumu ya mamilioni ya watu masikini Tanzania.

Amalize kimeo cha Mzee Ngonyani wa kule kawe ndipo aje na hivyo vioja !
 
Ngoma za kudhalilisha sio utamaduni wa mwafrika

Ngoma hizo zipigwapo na kuchezwa wanaotunza zawadi huwa ni hao wabunge na vigogo wa CCM labda huyo Mchungaji ni yeye tu huwa hashiriki
 
Maisha ya Tz magumu bora watu wajifariji na ngoma zao , hata ile Kanga Moko imetoa Ajila watu wanajipatia Kipato kupitia Show zao, wewe Mchungaji Kama wanakukera hao wape Ajila kwenye kampuni zako ili waachane na hizo ngoma kisha uwe mfano .
 

Acha watu wastareheke kama inakukera usimpeleke mwanao! Maisha mafupi hivyo acha yawe matam
 
Ajira za kucheza uchi au kukaa uchi dini inakata shida zilikuwa hata zamani lakn dini haikuhalalisha ukaaji uchii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…