Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!


Na yeye aache kukemea mapepo kanisani kwake. Kwani huwa anawadharirisha mabinti wanaoanguka chini kwa kujibwaga kwa kuachia menu ya kipochi manyoya na hivyo kusababisha mfadhaiko kwa wababa wanao tupia jicho.
 
Ngoma ni utamaduni wa Mwafrika
Ndiyo Sababu Hata Obama alipokuja Bongo akapigiwa na kuchezewa ngoma. Badala alalamike jinsi mapunda wanavyomaliza wanawake wenzie na madawa ya kulevya anasema ngoma! Je, amefikiria Kwa kuharibu mazingira ya bahari anasababisha madhara kiasi gani Kwa wanawake na watoto wanaomzunguka? A lot to ask that she is directly involved in affecting women's and children's life
 









 

Sishabikii tendo la unyanyasaji ila hoyo mama mwambie hayo maneno ayanenayo vema sana kama atachukua khatua kuwazuia waumini wake wa kike kuvaa vimini na vijana kutoga masikio ndo ajitie kunena kwa matungu pale bungeni.

Ajua jambo la legelege mwishowe hutwama na kuwa barafu.

Na wale wa zamani walituatia kauli inenayo hata "HATA MBUTU ULIANZA KAMA MCHICHA.

Akizingatia atafaulu na kinyumi chake asituhadae watanzania.

Ntarejea ....
 
Hivi ule ufisadi wake wa kutokulipa umeme alishakoma au ni kiherehere tu na adhani tuishasahau wananchi ...!?

Ati mama mchungaji ....! Haya endelea kuchunga mashule yako na wizi ulouzoea kwa sirikali yenu.....!
 
hivi si ndo huyu alimfungisha yule mbunge bibi ndoa na kajukuu. Mmesahau?

Ndo yeye, kwani hata yeye anayemume mkuu ...!?

Ndo maana haoni tabu kufanza na kunena mijiutumbo yake.

Mmmnnnfffsssss........
 
kucheza ngoma za kiafrika,(ambazo mababu walicheza wakiwa wamevaa vibwaya na mabibi wakiwa na vibwaya na matiti wazi),na kujenga jumba lake kwenye mkondo wa mto na watu kupata mafuriko na dengue,nani na nini ni mbaya zaidi?
 
kabla ya yote akabomoe kwanza lile HEKALU LAKE alilolijenga kwenye mazalia ya DAGAA MCHELE , hatutaki unafiki hapa .
 
Maisha magumu, umeme bei juu, maji hakuna, mkaa haipatikani bei juu, nauli juu, vyakula bei juu, school fees juu... Mafisadi wanachota Trillions... Kila mtanzania tunadaiwa laki sita (600,000/-)... JAMANI EEE watuache tuburudike angalau kwa ngoma na viroba maana tumechoka kuwaza huku mtaani kwetu!!!
 

Tanzania pekee ndiyo unaweza kukuta wauza sembe nao wanajiita watumishi wamungu na hata kuwa mwakilishi wa wananchi! ...Muuza sembe anauhalali gani wa kukemea maovu wakati bidhaa yake inamadhara kwa jamii?...
 

Nyumba aliyojenga ndani ya hifadhi ya bahari je amebomoa kufuata sheria za inchi au bado yupo mahakamani kutetea maslahi yake?

 
Mnafiki mkubwa huyo hana lolote; ndiyo maana kanisani kwake viti vipo kimadaraja! Huwezi kuwa mchungaji na kukalia kimya ufisadi ndani ya chama chako! Hili analisema ameona ndilo tatizo kubwa kwa taifa? Ngoma ni utamaduni wetu , mbona yy anacheza kanisani kwake?
 
Yule nae kakosa cha kusema.. Mwizi wa umeme mkubwa. Hao wanaocheza kanga moko si wanatafuta baada ya MiCCm kuwanyima fursa?
 
Na yeye aache kukemea mapepo kanisani kwake. Kwani huwa anawadharirisha mabinti wanaoanguka chini kwa kujibwaga kwa kuachia menu ya kipochi manyoya na hivyo kusababisha mfadhaiko kwa wababa wanao tupia jicho.

Hahaahaaaa! JF burudani tupu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…