Mchungaji na mlevi ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji na mlevi !

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Eghorohe, May 18, 2012.

 1. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mchungaji alikuwa anakatiza kitaa mara akakutana na mlevi yuko chakari anayumbayumba kushoto mara kulia,anaanguka ananyanyuka. Mchungaji alitikisa kichwa kwa masikitiko akamsogelea ikawa hivi: MCHUNGAJI: Je wamjua yesu? MLEVI: mie ni mgeni mtaa huu waulize wenyeji. MCHUNGAJI: Je upo tayari yesu awe rafiki ayakombowe maisha yako
  MLEVI:Huyo yesu ana hela? a.k.a mapene/mkwanja/dau la wima/chapaa/liquidity/maporosoo/mkwanja?????

  :bange:
   
Loading...