Mchungaji na Bilionea Shilla...

Aisee, Tz bado sana, imagine na wew unaexist katika ardhi hiyo
 
Reactions: 1gb
Wenye hela hawaoneshi hela. Hawabebi makesh kesh hivo.

Wanabeba debit card, tena Black.

Hizo hela mezani hazivuki Mil 7, iPhone 12 Mil 2, HP iyo Mil 1, ilo Didot fake, Saa gharaka..

Ila wivu utaniua.. Tuache awaibie kondoo zake man.
Hahaha live
 

Ulikuwa unakula kinyonge sana.
 

Pamoja na kujifaragua na kujitetea hapo mwanzoni, ila para ya mwisho imetosha kuonesha uzwazwa wako…. endeleeni kupigwa tu.

Kuazima PESA za show off…!!
 
acha wivu mzee mwache ale bata unaweza ukaona hizo hela amezipata kwa shida[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…