Mchungaji Mungu anakuona

Mchungaji Mungu anakuona

Usilitaje bure Jina la Bwana, Mungu wako; maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure
 
aka Mch.Mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20170816-WA0021.jpg
IMG-20170816-WA0020.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shost yangu alipata watoto watatu kwenye ndoa wawili kati yao wazungu, mume mkuria. Alidai I akiwa na mimba akiona tu mzungu basi anazaa toto la kizungu jamaa aliinywa hiyo chai.
Mi hii chai uliyoleta leo siinywi.
 
Back
Top Bottom