Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,062
Aisee broo niaje?kuna watu huku wananikorofisha wanaruka juu ya bati usiku kucha aisee..mala manyau yanalia kama watu.msaada broo
Hako katotocopy na mchungaji.
Yeah! Baada ya maombezi ya siku 3 mfululizo akilala kwa mchungaji, Mungu amefungua tumbo la mama huyo! Semeni Ameen!Mtoto mwenyewe kafanana na mchungaji.. unategemea kuna usalama hapo?
aisee. jamaa C&P!!
Hao dawa yao bhangi tu na mkojo wa kharam tamuAisee broo niaje?kuna watu huku wananikorofisha wanaruka juu ya bati usiku kucha aisee..mala manyau yanalia kama watu.msaada broo
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Hapana nadhani chini ya kitovuMama aliwekewa mkono yenye baraka za mchungaji tumboni
Shost yangu alipata watoto watatu kwenye ndoa wawili kati yao wazungu, mume mkuria. Alidai I akiwa na mimba akiona tu mzungu basi anazaa toto la kizungu jamaa aliinywa hiyo chai.
Bangi unaifanyaje mkuu?na huo mkojo wa kharam ndo wa nini?
loooh!!