Mchungaji Msigwa Unatufurahisha sana Wananchi wa Iringa Municipal

huo ni wajibu wake, hata asipowajibika watu wa iringa daima hawalembi watamuwajibisha wao. iringa kumbukeni tulianza na upinzani kisha uchaguzi uliofuata wakatuchakachua wakakaleta kale kamama bwiga kalipozingua tumekasepesha na msigwa anafahamu fika kuwa tulimpigania kwelikweli hadi akafika mjengoni akituzingua ubunge atausikia kwenye ndoto2015 kwahiyo lazima atiging'ale la sinyo hana chake. pia akumbuke kulipa fadhira kwa mawakala wake aliowadhulumu pesa zao.
 
wahehe ni wajanja tangu zamani, nilisoma tosa ndo nikagundua kumbe wahehe wana misimamo balaa.
 
taifa linahitaji watu makini kama mchungaji msigwa kwasasa anauwezo nadhani anahofu ya MUNGU NDIO MAANA ANA SIMAMIA HAKI KWA MOYO WAKE
 
Hongera sana Mchungaji. hakika unanifuhisha jinsi unavyochangia mada. Ulichangia vizuri sana kuhusu UTMISHI wa nchi hii zama hizi kuwa watumishi wamejisahau. Mie nilifurahi sana kwa kuwa uliwasilisha hoja niliyokuwa nayo. watumishi siku hizi wajibu wao ZERO. hasa wa Dar wanachelewa sana kazini wakisingizia Foleni kumbe wako kwenye shughuli zao binafsi. Unaweza kwenda ofisini unahitaji SAINI ya mkuu ukakuta ofisi yake imefungwa eti yuko safari au kaingia kwenye kikao. Safari na Vikao vinaadhiri utendaji kazi wa Wakuu because wengine wanasahau hata DELEGATION. Mchungaji anayekuwezesha azidi kukupa ujasiri.
 
Big up Rev Msigwa,mwenyewe ananifurahisha sana,awe mfano wa kuigwa kabisa na wengineo kuwa bungeni siyo sehemu ya kwenda kula posho na kulala!Viva CDM,vivaaaaaa Rev Msigwa
 
Huyu mbunge kama anakula kitimoto naomba akija dar ani pm jamani pls na pls
baraka zingine sio lazima uingie kanisani kumbariki mtumishi kama huyu anaerisk maisha yake kwa watu ni muhimu sana
mkuu pastor big up mpendwa
 
Back
Top Bottom