Mchungaji Msigwa: Nilikuwa Mmachinga nayajua mateso na madhira wanayopata Wamachinga wa Manispaa ya Iringa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,934
141,903
Mchungaji Msigwa ameutaka uongozi wa Manispaa ya Iringa kutowabuguzi na kuwasumbua Wamachinga.

Msigwa amesema yeye alikuwa machinga hivyo anaelewa mateso na madhira wanayopata Wamachinga wa Manispaa ya Iringa.

Binafsi namfahamu Peter tangu akiwa anauza Mitumba pale Miyomboni 1980s kabla hajaenda Africa Kusini ndio sababu nilishangaa wafanyabiashara wa Iringa kumsapoti Jesca 2020.

Msigwa ameweka picha ya Enzi zake Ukurasa wa twitter!
 
Mbunge gani hata michango ya mtaani kwake hatoi.......
Mwambie alipe ule mchango wa ujenzi wa mtaro kwanza.
Ingawa mtaro ulishajengwa.
Hovyo kabisa.
 
Nilipita jana maeneo ya Mlandege makaburini naona lile eneo limebadilishwa matumizi

Wamepewa hao wamachinga lakini hakuna miundo mbinu yoyote kama vyoo, shade nk. Machinga wana maisha ya tabu sana
 
We all know mashine tatu....
Hakuna Vyoo, labda stand vya kulipia na Soko mjinga pale.
kama wamepelekwa mlandege, Soko jipya lina vyoo.....
Na miundombinu yote ( wao wapo pembeni yake ).
Watatuimia hiyo since soko hata halipo busy.
Kwani siku Hizi kuna vyoo vya bure?
 
Back
Top Bottom