GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
- Thread starter
- #21
Mbona Moshi wabunge wao waliijenga na tulisifia, leo kujengeka Iringa imekuwa kero!
!
Kwa Hiyo Mbunge Bosi Wake Ni Rais Na Sio Wananchi Waliomchagua?
Aiseee! Dunia Simama Nishuke.
Huwa nacheka Sana sana hasa waliozaliwa kaskazini kama mimi ingawa sio kwetu na Wale wenye miji yao kaskazini huwa hawapendi kusikia mara Dodoma jiji au Mbeya jiji? Ingetangazwa moshi jiji pasingekalika kwa sifa
Naona unasubiri aseme moshi jiji ili useme Raisi ndie Bosi