Mchungaji Msigwa; the best risk decision maker ever! Tumpongeze

Mchungaji Msigwa; the best risk decision maker ever! Tumpongeze

Kiukweli mkuu nakuunga mkono...bahati nzuri nimebahatika kufika mikoa mingi ila kwenye suala la infrastructures Iringa ipo vizuri huwezi fananisha na sehemu kama Lindi au singida kwa Nchemba....sehemu kama Miyomboni pamepangika vizuri sana
Watu wengi walihitaji msigwa adanganye ukweli, wananchi wangemshangaa kupinga kila kitu wakati barabara zinaonekana
 
Narudia tena,wabunge hizo pesa waache kuzitumia ovyo JPM anawaumbua tu.
 
Mchungaji Msigwa kaongea kiujanja sana . But he hasn’t conceded anything. BAHATI mbaya wengi hawakumuelewa
Including mlengwa so alimpigia mbuzi gitaa. Go straight to the point sio kuzunguka mbuyu
Kwa ufupi amejivuruga hawezi kujisafisha hata iweje.
Hakuna upinzani Tz wote ni wafanyabiashara period
 
Including mlengwa so alimpigia mbuzi gitaa. Go straight to the point sio kuzunguka mbuyu
Kwa ufupi amejivuruga hawezi kujisafisha hata iweje.
Hakuna upinzani Tz wote ni wafanyabiashara period
Mkuu asingeweza ongea uwongo wakati barabara zinaonekana pale manispaa na maji hayakatiki kabisa, Msigwa asingeweza danganya ule mkoa umepelekewa mabilioni ya World Bank bila kinyongo
 
Mkuu asingeweza ongea uwongo wakati barabara zinaonekana pale manispaa na maji hayakatiki kabisa, Msigwa asingeweza danganya ule mkoa umepelekewa mabilioni ya World Bank bila kinyongo
Stendi ya Ipogolo ni kweli? Nimepita huku juzi sijaona jipya zaidi ya vumbi! So ukweli gani aliuongea hapa?
 
Actually iringa pazuri aise hamna seem nzr kama ile umeme kule ukikatika ujue umekata Tz zima, maji iruwasa inajitahd yale , afya ase wananchi wa iringa wanaraha. Pia usafi hongera kwao wahehe
 
Stendi ya Ipogolo ni kweli? Nimepita huku juzi sijaona jipya zaidi ya vumbi! So ukweli gani aliuongea hapa?
Naamini jamaa alijichanganya alv sema ipogoro ila kiukweli ile stand ipo igumbilo ndo imejengwa sahz nafkr ipo kwenye level ya finishing picha hii apa

Hyo ndo stand kuu mpya aliokua anaiomgelea mchungaji msigwa.
FB_IMG_15255827176496851.jpg
FB_IMG_15255827093173509.jpg
 
Wanabodi, Kuna usemi unasema"Your Boss is your Boss, Respect your Boss, Be on positive Side of your Boss. Kwa kiswahili na tafsiri isiyo rasmi ni kwamba "Muheshimi mkubwa wako wa kazi, ongelea mambo mazuri ya bosi wako tu, usimwongelee vibaya mkubwa wako wa kazi

Iringa ya leo hii tukiacha ushabiki na uzandiki imependeza sana hasa manispaa ya Iringa, Iringa mjini anayoongoza msigwa mbunge huwezi fananisha na mikoa mingi hapa Tanzania kwa huduma za msingi yaani Umeme, maji, Miundombinu iliyojengeka

Barabara imara zilizojengwa Mkoa wa Iringa hata katika majiji yetu hakuna, Majiji yetu Mbeya, Dar, Arusha na Mwanza zimejaa miundombimu iliyojengwa kwa kiwango cha chini Sana na mingi inabomoka, Kipindi cha mvua haya majiji yamegeuka uchafu na madimbwi ya kufugia minyoo

Mchungaji Msigwa asingeyaona hayo angekuwa hana heshima wala shukrani kwa Bosi wake, Mkoa wa Iringa umependelewa sana hasa kupelekewa fedha nyingi za Benki ya Dunia (World Bank) na zimetumika kurekebisha mji Sana Sana hilo aliefika kule juu mlimani kwenye mji analijua hilo

Tumpongeza Msigwa, Iringa itakuwepo hata Msigwa akiondoka madarakani, Kupendeza kwa Iringa yawezekana ilipangwa au imetokea kwa bahati mbaya, Kama ni kwa bahati mbaya basi Msigwa historia itamkumbuka sana kama mpigania maendeleo wa Iringa

Wananchi lazima tufahamu maendeleo hayapatikani kwa kumchukia mtu, Wanaomchukia Rais mnapoteza muda na mnajitakia magonjwa ya moyo na presha, Yeye yupo pale kama msimamizi tu na mamlaka kwa mujibu wa katiba

Katika Maisha ya sasa hakuna maamuzi ambayo yapo huru bila kuwa na Risk au tahadhari ndani yake, Tahadhari yaweza ikawa hasi au chanya, Shukrani ya Peter Msigwa kwa Raisi ni chanya kwa wana Iringa lakini ni hasi kwa wenye chuki na Raisi.

Mchungaji msigwa umetumia opportunity kuijenga Iringa iwe chanya ,Usiogope threats (vitisho) kwani opportunity for Iringa To success is greater than threats
Msigwa, The Great Thinker.

Watu walitaka amtukane rais, hapana hata mimi nisingeweza kumdhalilisha mkubwa wangu wa kazi hadharani. Huu ndio utamaduni wetu waungwana.
 
Back
Top Bottom