Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

Salaam,Shalom!!

Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine.

Itakumbukwa, Msanii huyo, hivi karibuni ameendelea kutetea uamuzi wake huo Kwa kuhusishwa kifo Cha mwimbaji WA INJILI aliyeimba wimbo wa Equemme aitwaye Osinach kuwa kifo chake kilitokana na manyanyaso ya NDOA na alitaka kuvunja NDOA ila akazuiwa na viongozi wa Dini yake, ametumia sababu hiyo kutaka kuhalalisha uamuzi wake wa kutengana na mumewe Kwa kigezo Cha huduma.

Mchungaji Mbarikiwa amesisitiza kuwa, hakuna wito wa pekee kama anavyodai Christina Shusho wa kumwacha mume Ili kufuata huduma Bali amesukumwa na Roho ya ukahaba.

Mchungaji Mbarikiwa amedai kuwa huko mbeleni, siku Si nyingi, Msanii huyo ataonyesha wazi anachokificha sasa.

Ninakubaliana na Mchungaji Mbarikiwa kuwa Christina Shusho hayuko sahihi Kwa kauli na vitendo vyake sababu anaingiza Roho ya kuvunja NDOA Kwa wanawake wakristo Walio ndani ya NDOA sababu ni Yeye ni public figure.

Tuendelee kumkemea mtu huyu Ili asilivuruge Kanisa na kuvunja moyo mabinti ambao hawajaolewa kupata HOFU ya changamoto za ndani ya NDOA.

NB: NDOA na iheshimiwe na watu wote, na kifo pekee ndio kitatamatisha mkataba wa NDOA.

Source: Shuhuda za kikosikazi Cha INJILI Tv.

Karibuni🙏

Pia soma
Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu
Huyu binti amepotea
 
Hata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
Dhambi iko wapi mwenzio anajiwazia mema au wewe ndo Tina wa mwanaume ataacha wazazI wake
 
Huyo mchungaji anayejiita mbarikiwa na yeye ni mchungaji uchwara tu, nyuma ya pazia ana makando kando yake maovu mengi tu..

Yeye anafuatilia maisha ya wengine kama nani?

Mtu kaamua kuachana na mmewe yeye ina muhusu nini?

Hawa wachungaji uchwara wanojivika uungu mtu ndio waovu wakubwa.
Wewe ni mpumbavu Hilo sio swala binafsi labda angekuwa kaanzisha kanisa la biblia yake kama la Beyonce ukishaingia kwenye ulokole ndoa si swala binafsi ni Jambo linalojenga ushuuda wewe Vipi bana au chawa WA tina
 
Wewe ni mpumbavu
Wewe kinyamkera uliyekurupuka huko na mawenge yako, umeelewa nilicho kisema?
Hilo sio swala binafsi labda angekuwa kaanzisha kanisa la biblia yake kama la Beyonce ukishaingia kwenye ulokole
Ulokole alianzisha baba yako we nyang'au?
ndoa si swala binafsi ni Jambo linalojenga ushuuda wewe Vipi bana au chawa WA tina
Mtu kaamua kuachana na mmewe kwa maamuzi yake binafsi, Ninyi vinyamkera mnacho washwawashwa kuingilia maamuzi ya mtu binafsi ni nini?
 
Asili ya Mizimu ni kuzimu,

Kuzimu ni nyumbani Kwa wafu,

Wewe kwenu ni kuzimu waliko mababu na ndugu waliokufa?
Wakristu wanakwenda kuzimu kwa kuabudu ukuta Israel na Waislam wanakwenda kuzimu kuabudu jiwe Uarabuni. Mimi nazimu na kuabudu mizimu yangu hapa hapa Tanzania na siabudu mizimu ya watu wengine wasio na asili yangu. Kwani Wakristu na Waislam wanaabudu watu walio hai huko Israel na Uarabuni? Nafikiri umeshanielewa mpaka hapo. Kijana, achana na hihi dini za kipuuzi, it's not in your DNA......ni ujinga kumuabudu mwarab au Muisrael wakati wewe ni mtu mweusi.
 
Imeandikwa,

Wamwabuduo halisi, watamwabudu katika Roho na Kweli.

Hakuna mbingu ya dini ulizotaja,

Mbingu ni ya wamwaminio Yesu Kristo kuwa BWANA na Mwokozi wa MAISHA yao,

Ni waliokubali kuishi maisha matakatifu, waliojikinai, wasioenenda Sawa sawa na Dunia ienendavyo,

Mbingu ni ya Wana wa Mungu, ndio wale waliaminio Jina lake. Mbingu ni ya wale waliowekwa ALAMA/MUHURI/CHAPA/ NEMBO ya Mungu katika paji ya vichwa vyao.

Karibu🙏
 
Of course, imeandikwa na binadamu siyo Mungu. Hizi dini za maboti (Abrahamic religion) ni man made, usipotoke kijana. Soma uelimike usipende kujikaririsha tu ujinga, haya unayofanya wewe ni ujinga tuliokuwa tunaaminishwa zamani kabla hatujasoma.
 
kwa kifupi shusho yupo sahihi na anatenda kazi ya Mungu huo uasi umeuona wewe tu. Hakuna haja ya kueleza kinagaubaga kwanini katoka kwenye ndoa yake. Hata angefanya hivyo bado binadamu wangeendelea kumtukana tu. Sababu tumeumbwa kuongea.
Kwanini mnalazimisha yeye kapotoka na si mume wake? Unajua alikuwa anapitia magumu kiasi gani? Au sababu mnamuona anacheka kwenye kamera basi mnafikir yupo sawa?
Nasema hivi shusho yupo sahihi na wengi wanaompinga ni wanatumiwa na ibilisi kumkwamisha katika kazi yake.
Kwann mtu anahitimisha shusho ni malaya? Yaani kuna ugumu gani kusema mume wake alikuwa malaya au mume wake alikuwa akimnyanyasa?
Kisa mume wake ni mchungaji? Mchungaji kitu gani wakat wapo waliomkana yesu na walikuwa wakila na kushinda pamoja!
Shusho yupo sahihi kabisa kufanya kazi ya mungu. Muda mwingine dunia haiwezi kukuelewa . Uwe tayari kutukanwa, uwe tayari kuacha kila kitu, uwe tayr kupoteza mali, uwe tayari hata kufa kww ajili ya imani. Na huo ndio msingi wa Imani yake.

Ikiwa mkono wako au mguu wako unakusababisha utende dhambi, ukate, uutupilie mbali. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa na mkono mmoja au mguu mmoja, kuliko kuwa na mikono miwili na miguu miwili lakini ukatupwa katika moto wa milele. Na kama jicho lako lina kusababisha utende dhambi ling’oe, ulitupe mbali. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa na jicho moja, kuliko kuwa na macho mawili lakini ukatupwa katika moto wa Jehena.
Masingle maza mnajazba sana nanyie ndo mnaenda kujazana huko kanisani kwake mzidi kuhubiliana uvunjaji wandoa shubamit... Kwanza aturudishie pesa zamichango yetu yaharusi kabla hajanza kuhubili huko kanisan kwenu
 
C. SHUSHO NI MALAYA SANA YULE MWANAMKE... NA ANAJUA KUUZA UTELEZI PESA YAKO TU UNAMVUA SKETI...
Usingo maza kwasasa no njia ya kufanya umalaya mjini...
 
Of course, imeandikwa na binadamu siyo Mungu. Hizi dini za maboti (Abrahamic religion) ni man made, usipotoke kijana. Soma uelimike usipende kujikaririsha tu ujinga, haya unayofanya wewe ni ujinga tuliokuwa tunaaminishwa zamani kabla hatujasoma.
Ninayokuambia Si habari za vitabu pekee,

Ni maisha halisi,

Na Mungu muumba wa Mbingu na Nchi ni baba yangu, na Huwa ninaongea naye, na anaishi ndani yangu.
 
Wewe kinyamkera uliyekurupuka huko na mawenge yako, umeelewa nilicho kisema?

Ulokole alianzisha baba yako we nyang'au?

Mtu kaamua kuachana na mmewe kwa maamuzi yake binafsi, Ninyi vinyamkera mnacho washwawashwa kuingilia maamuzi ya mtu binafsi ni nini?
Bi Tina au we ni jini mahaba, basi niue
 
Salaam,Shalom!!

Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine.

Itakumbukwa, Msanii huyo, hivi karibuni ameendelea kutetea uamuzi wake huo Kwa kuhusishwa kifo Cha mwimbaji WA INJILI aliyeimba wimbo wa Equemme aitwaye Osinach kuwa kifo chake kilitokana na manyanyaso ya NDOA na alitaka kuvunja NDOA ila akazuiwa na viongozi wa Dini yake, ametumia sababu hiyo kutaka kuhalalisha uamuzi wake wa kutengana na mumewe Kwa kigezo Cha huduma.

Mchungaji Mbarikiwa amesisitiza kuwa, hakuna wito wa pekee kama anavyodai Christina Shusho wa kumwacha mume Ili kufuata huduma Bali amesukumwa na Roho ya ukahaba.

Mchungaji Mbarikiwa amedai kuwa huko mbeleni, siku Si nyingi, Msanii huyo ataonyesha wazi anachokificha sasa.

Ninakubaliana na Mchungaji Mbarikiwa kuwa Christina Shusho hayuko sahihi Kwa kauli na vitendo vyake sababu anaingiza Roho ya kuvunja NDOA Kwa wanawake wakristo Walio ndani ya NDOA sababu ni Yeye ni public figure.

Tuendelee kumkemea mtu huyu Ili asilivuruge Kanisa na kuvunja moyo mabinti ambao hawajaolewa kupata HOFU ya changamoto za ndani ya NDOA.

NB: NDOA na iheshimiwe na watu wote, na kifo pekee ndio kitatamatisha mkataba wa NDOA.

Source: Shuhuda za kikosikazi Cha INJILI Tv.

Karibuni🙏

Pia soma
Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu
 
Attachments

  • IMG_0543.jpeg
    IMG_0543.jpeg
    121 KB · Views: 2
Ndoa zina siri nyingi usihukumu bila kujua wangeuana mngesema bora wange achana kwanini mna mhukumu Christina Shusho bila kujua upande wa pili?
 
Masingle maza mnajazba sana nanyie ndo mnaenda kujazana huko kanisani kwake mzidi kuhubiliana uvunjaji wandoa shubamit... Kwanza aturudishie pesa zamichango yetu yaharusi kabla hajanza kuhubili huko kanisan kwenu
sasa mbona wewe uliyezaliwa baada ya mama yako kupigwa mtungo amsemwi? Yaani umepatikana kati kati ya wanaume zaidi ya mmoja wewe unajiita mtoto au uchafu?
 
kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine.
Kumbe ni minyege ndio imemtoa kwa mumewe. Nina imani mumwe wake mpya (Diamond) atamtindua minyege yote kwishney. Yule jamaa hacheki na nyani. Na asipokaa sawa atamzalisha na kumtupa kama alivyowstupa wengine.. Shauri yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom