Mchungaji Lusekelo: Nyerere ndio Nabii pekee hapa Tanzania na watu wa aina yake huzaliwa baada ya miaka 500

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,853
141,776
Mchungaji Lusekelo amesema hstaweza kumsahau mwalimu Nyerere katika maisha yake yote. Mzee wa Upako amesema Tanzania kuna watu wanajiita mitume na manabii na kwamba hao watu ni wasanii kama wasanii kama wasanii wengine tu.

Mtu pekee mwenye hadhi ya kuitwa Nabii hapa nchini ni mwalimu Nyerere peke yake na ili kumpata mtu mwingine wa kariba ya Nyerere itapita miaka 500 ndio atokee. Rev Lusekelo amesema hayo ibadani pale Kanisani kwake katika maadhimisho ya miaka 19 ya kifo cha mwalimu Nyerere.

Chanzo: Channel ten tv.

My take: Kamanda Lema wa Ufipa anajiita Nabii......hii imekaaje!
 
Kwani tangu alipofariki Mwl Nyerere mpaka 2015 hiyo miaka 500 haijatimia tu?
Si juzi hapa nimesikia yupo Nyerere mwingine baada ya huyo Mwl tena yeye ni ma.....ka?
Lusekelo andaa vyeti vya kuzaliwa vya babu na bibi yako mapema sana mbona yajayo yanafurahisha uhamiaji.
 
Bapa ni chupa ya konyagi si ina umbo paba
tena sasa hivi napikia mbwa chakula na kunywa ka konyagi, sasa hivi nipo hapa nje! Kumbe ndiyo bapa! Nilikuomba unitafutie shule ya masters MD ya ada nafuu lkn chuo kizuri for binti wangu! Nisamehe bure
 
Tatizo hajaongea toka moyon..bali ni vijembe kwa viongozi wa makanisa pinzani na lake ambao hung'anganiana waumini kila siku.....japo sipo mbali sana na mtazamo wake kuhusu Nyerere.
Kwahiyo wewe unaamini hawa akina Lema ni manabii?
 
Kwahiyo hsta akikuambia bado hautamuamini!
Sitomwamini.........reference ya miaka 500 amepata wapa. Awake citation kwa case ya Tanzania! Anajua miaka 500 ijayo si yeye wala kizazi hiki chenye kumbukumbu ya Nyerere. Uhuni mtupu.
 
Back
Top Bottom