Mchungaji kama huyu anasoma Biblia gani?

Mchungaji kama huyu anasoma Biblia gani?

img-20190223-wa0028-jpg.1030412
mbona dada mwenyewe anaonekana nae ni mission town tu..
 
Mbna mchungaj kanyoa kiduku, hyo itakuwa ni tamthilia au wanatengeneza movie
 
Mavazi yenyewe ya muumini pamoja hiyo miwig anaonekana bangi tupu
 
Wachungaj weng wamefocus kwa wanawake zaid maana ndo wakiaminishwa wanaamini haraka saana
 
Back
Top Bottom