Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Jee inawezekana Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli and he was right na hili tukio la Makonda kuzuiliwa kuingia Marekani ni mpango wa Mungu kuwatumia Wamarekani kutuonyeshea ushetani wa Makonda, au Mchungaji Gwajima ni agent wa shetani na Wamarekani nao ni mashetani tuu, na huku kumzuia Makonda kuingia Marekani ni mpango wa shetani, hivyo sasa Mungu atalitumia tukio hili kuudhihirisha, utukufu wake kwa mtumishi wake?

Only Time will tell
P
 
Je, inawezekana Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli and he was right na hili tukio la Makonda kuzuiliwa kuingia Marekani ni mpango wa Mungu kuwatumia Wamarekani kutuonyeshea ushetani wa Makonda, au Mchungaji Gwajima ni agent wa shetani na Wamarekani nao ni mashetani tuu, na huku kumzuia Makonda kuingia Marekani ni mpango wa shetani, hivyo sasa Mungu atalitumia tukio hili kuudhihirisha, utukufu wake kwa mtumishi wake?

Only Time will tell
P
Mshenga sikuhizi anaunga mkono juhudi, labda ni kinafki tu kuinusuru roho yake kutoka kwa Israel Bashite mtoa roho.
 
Jee inawezekana Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli and he was right na hili tukio la Makonda kuzuiliwa kuingia Marekani ni mpango wa Mungu kuwatumia Wamarekani kutuonyeshea ushetani wa Makonda, au Mchungaji Gwajima ni agent wa shetani na Wamarekani nao ni mashetani tuu, na huku kumzuia Makonda kuingia Marekani ni mpango wa shetani, hivyo sasa Mungu atalitumia tukio hili kuudhihirisha, utukufu wake kwa mtumishi wake?.

Only Time will tell
P
P;
Sina uhuru mkubwa kama Gwajima kumsema DAB ila niko tiyari kukosolewa kama nitasema, Nabii wa kweli ni yule asemaye neno kabla halijawa nalo likaja kuwa.

Mungu pia anaweza kutumia lolote au chochote kumfunua mtu. Jambo muhimu hapa ni kuwa DAB ajichunguze yeye mwenyewe, kama hayo yaliyotajwa na USA kuna lolote alitia mkono wake, asiushupaze moyo wake bali atubu tu. Kwenda kulilia kanisani tu bila badiliko ni bure.

Pia toba si lazima ije hadharani bali aamue kuachana na siasa amwendee tu Mungu wake akiwa ametubu. Yatakuwaje baadaye hayo ni maombi kwa Mungu huyu mwingi wa rehema.

Watu wengi hudhani kuwa watang'ang'ania hiyo nafasi waliyo nayo milele. Hajawahi ishi mwanadamu zaidi ya miaka 900 hivyo hakuna kuishi milele hapa. Tengeneza tu njia zako na Mungu ili ukifa uende peponi
 
Jee inawezekana Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli and he was right na hili tukio la Makonda kuzuiliwa kuingia Marekani ni mpango wa Mungu kuwatumia Wamarekani kutuonyeshea ushetani wa Makonda, au Mchungaji Gwajima ni agent wa shetani na Wamarekani nao ni mashetani tuu, na huku kumzuia Makonda kuingia Marekani ni mpango wa shetani, hivyo sasa Mungu atalitumia tukio hili kuudhihirisha, utukufu wake kwa mtumishi wake?.

Only Time will tell
P

Mwandishi wangu bora wa muda wote, nadhani ingekuwa ni rais au waziri mkuu amepata hii Ban hapo sasa tungeongea but kwa mkuu wa mkoa me naona tuache tu
 
ndyo yeye n zaidi ya rais maana kuna marais wengi, kuna rais wa mashoga, rais wa wasanii, rais wa fifa,rais wa mlima ng'aro, rais wa mazense, sasa yeye nae ni rais wa kufufua mizukule gwajima
 
Je, inawezekana Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli and he was right na hili tukio la Makonda kuzuiliwa kuingia Marekani ni mpango wa Mungu kuwatumia Wamarekani kutuonyeshea ushetani wa Makonda, au Mchungaji Gwajima ni agent wa shetani na Wamarekani nao ni mashetani tuu, na huku kumzuia Makonda kuingia Marekani ni mpango wa shetani, hivyo sasa Mungu atalitumia tukio hili kuudhihirisha, utukufu wake kwa mtumishi wake?.

Only Time will tell
P
Unadhani kati ya Gwajima na Makonda ni nani hasa anayemtumikia Yehova Mungu zaidi ya mwenzake? Au pia ni nani anayetumika na shetani mara nyingi zaidi? Tuwe wakweli tu.
 
Mungu atawaonyesha mara ngapi kuwa Gwaji Boy is a man of Satan? Km watu wameshindwa kuamini video picha kavu ndo wataiamini?
Jee inawezekana Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli and he was right na hili tukio la Makonda kuzuiliwa kuingia Marekani ni mpango wa Mungu kuwatumia Wamarekani kutuonyeshea ushetani wa Makonda, au Mchungaji Gwajima ni agent wa shetani na Wamarekani nao ni mashetani tuu, na huku kumzuia Makonda kuingia Marekani ni mpango wa shetani, hivyo sasa Mungu atalitumia tukio hili kuudhihirisha, utukufu wake kwa mtumishi wake?.

Only Time will tell
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awe au asiwe nyie mnataka mini?

Jamani midomo hii itawaponza,ushauri wa Bure tu,achaneni na watumishi wa Mungu,aliyewapa kazi ndo anawajua! Na haina maana hawakosei ni wanadamu,na biblia imesema wakianguka hata Mara 7 watasimama tena!

Msomeni Daudi,alijua namna ya kutubu na kutengeneza,ss nyie endeleeni kuongea kumbe mtu hata km alikosea alishatengeneza na Mungu!

Na Mungu akimpaka mtu mafuta huwa hamnyang'anyi kipawa kinabaki!na kinaweza kikanena kinyume chako!

Kumbuka "Mungu analiangalia neno apate kulitimiza"
Punguzeni midomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata TITO utamuamini

Mtawajua kwa matendo yao. Maneno hayo Pascal unayaelewa?
Pascal, wapo wapakwa mafuta lakini kipimo chao siyo nukuu za biblia wala kuhubiri kwa sauti ya juu au uwezo wa kulia madhabahuni. Pascal, uzidi kuomba neema ya Mungu ili ujaliwe hekima ya Mungu, upate kuzijua siri za Baba wa mbinguni. Usipokuwa makini unaweza kushiriki katika kulihujumu Taifa la Mungu bila kutambua wala kukusudia.
Mkuu Bams, asante kwa mchango huu, hayo nayajua, na nimeyazungumza mara kadhaa humu.
Makonda ni mpakwa mafuta wa kweli wa Mungu, angalia mapito yake na jinsi Mungu anavyo mpigania.

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums

P
 
Hajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.

Paskali
Paskali, iko wapi ruhusa ya kumtaja mtu bila kuthibitisha, je muuimini alitisha kuwa uthibitisho?

Wewe umesomea sheria je hii ya makonda ina kibali ndani ya sheria?

Mtakatifu Yesu alitoa mwongozo wa kushughurika na adui yako.
Je uliwashauri wale waliopiga risasi lissu kuwa haikuwapasa kufanya vile, walioteka na kutesa uliwaambia Bwana Yesu hakuagiza kulipiza kisasi?

Usiwe kinyonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom