Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Lazima akemee dhambi kwani hata kwenye amri kumi za Mungu hili nalo lipo! "Usimshuhudie jirani yako kwa uongo"

Hata hili nalo hulioni? Sasa kichwa chako kipo kinafanya nini?

Kuna tofauti kati ya kukemea na kuropoka.
Yeye sio wa kwanza kusingiziwa. Hata Yesu alisingiziwa lakini alimuomba Mungu tu awasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo. hajawahi panic na kufanya aache mafundisho na kuanza kuwajadili waliomsingizia uongo.
Ukiona mtu anajiita ASKOFU halafu anapanic na kuanza kuropokaropoka kwa kusingiziwa tu ni dhahiri huyo ni ASKOFU FEKI.
Askofu wa kweli huwa na hekima, hawezi kuchanganyikiwa kwa kusingiziwa na Bashite, Askofu wa kweli angemdharau tu na kuendelea na kupiga injili ya ukombozi.
Ukiona Askofu mzima yupo busy na jambo ambalo anadai ni la kusingiziwa ujue hakusingiziwa - ameguswa penye ukweli.
Askofu Pengo alishawahi singiziwa pia lakini ulishamuona akiropokaropoka kama huyo kichaa wenu?
 
Provided that anachokiongea ni Cha kweli, basi sioni kosa lake zaidi naona kama mropokaji ni wewe
 
Hili ni king drug dealer,kubwa la maadui.
Limejificha kwenye kichaka cha dini.
Haiwezekani mchungaji akawa na bodyguards wa kiwango hiki,lundo,.

Ina maana hamwamini yesu?
 
usifosi mfanane mjomba amechunguzwa mara ngapi na serikali muulize bashite je gwajima walimkuta ba nini
tatizo lenu mnaishi kwa hisia
acha kupapasa fanya vitu kwa uhakika
 
Makonda alimtaja askofu ili amharibie jina, wewe unafikiri askofu angejisafisaje? Kama yeye alipewa majina ayaseme kama kasuku bila hata kufikiria, jiulize angepewa jina LA baba yake angelisoma
 
Kuna tofauti kati ya kukemea na kuropoka.
Yeye sio wa kwanza kusingiziwa. Hata Yesu alisingiziwa lakini alimuomba Mungu tu awasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo. hajawahi panic na kufanya aache mafundisho na kuanza kuwajadili waliomsingizia uongo.
Ukiona mtu anajiita ASKOFU halafu anapanic na kuanza kuropokaropoka kwa kusingiziwa tu ni dhahiri huyo ni ASKOFU FEKI.
Askofu wa kweli huwa na hekima, hawezi kuchanganyikiwa kwa kusingiziwa na Bashite, Askofu wa kweli angemdharau tu na kuendelea na kupiga injili ya ukombozi.
Ukiona Askofu mzima yupo busy na jambo ambalo anadai ni la kusingiziwa ujue hakusingiziwa - ameguswa penye ukweli.
Askofu Pengo alishawahi singiziwa pia lakini ulishamuona akiropokaropoka kama huyo kichaa wenu?

Hebu soma maneno kutoka kwenye Biblia (usimsingizie Yesu bure), tuone kama kweli aliposingiziwa alisamehe (kila wakati)? Soma Yohana 8:39-44 (kama nilivyonukuu hapa chini).
39 Wakajibu, wakamwambia, Baba yetu ndiye Ibrahimu! Yesu akawaambia, Kama mngekuwa watoto wa Ibrahimu, mngezitenda kazi zake Ibrahimu.
40 Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo.
41 Ninyi mnazitenda kazi za baba yenu. Ndipo walipomwambia, Sisi hatukuzaliwa kwa zinaa; sisi tunaye Baba mmoja, yaani, Mungu.
42 Yesu akawaambia, Kama Mungu angekuwa baba yenu, mngenipenda mimi; kwa maana nalitoka kwa Mungu, nami nimekuja; wala sikuja kwa nafsi yangu, bali yeye ndiye aliyenituma.
43 Mbona hamyafahamu hayo niyasemayo? Ni kwa sababu ninyi hamwezi kulisikia neno langu.
44 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.

Waeleze wana jamvi kuna maombi gani ya msamaha hapa kutoka kwa Yesu? Usimsingizie!
 
Maandiko yote uliyoyaquote hapo juu yana UVUVIO na KUFUNDISHA.
Askofu wenu anaporopokaropoka kuhusu Bashite ndo mnavuviwa kwenda kubatizwa ama kuokoka? wengi mnaishia kupiga makelele kama vile mmeingiliwa na mapepo.
Hakuna mtu duniani asiyekwazika anaposingiziwa. Ndio maana hata Yesu alipokosewa alitoa neno la kufundisha sio la visasi kama huyo askofu koko wenu.
Gwajima sio wa kwanza kusingiziwa madawa ya kulevya (ikiwa ni kweli anasingiziwa)
Askofu Pengo alishawahi kusingiziwa, alilalamika na kisha akawadharau waliomsingizia.
Askofu safi asiye muuza sembe hawezi kupanic kama huyo askofu wenu alivyochanganyikiwa.
Kulalamika is human, lakini kulalamika kwa staili ya askofu wenu kunatufanya hata tuliomuamini mwanzo kuwa hahusiki na uuzaji sembe tuanze kumtilia shaka. Maana nguvu anayoitumia kumsakama Bashite haiwezi ikawa kwa sababu tu kasingiziwa.
Biblia inasema hivi:
Nanyi, kila msimamapo na kusali, SAMEHENI, mkiwa na neno juu ya mtu; ILI NA BABA YENU ALIYE MBINGUNI AWASAMEHE NA NINYI MAKOSA YENU." (Marko 11:25)

"Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya; tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, MKASAMEHEANE kama na Mungu katika Kristo ALIVYOWASAMEHE ninyi." (Efe 4:31,32)

Na wewe Rafiki yake Gwajima Mungu anakuonya hivi:
"Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira nyingi; Wala usiende na mtu wa ghadhabu nyingi; Usije ukajifunza njia zake; Na kujipatia nafsi yako mtego." (MITHALI 22:24-25)
 
Na wewe Rafiki yake Gwajima Mungu anakuonya hivi:
"Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira nyingi; Wala usiende na mtu wa ghadhabu nyingi; Usije ukajifunza njia zake; Na kujipatia nafsi yako mtego." (MITHALI 22:24-25)[/QUOTE]

Rafiki umebadili gia majini? Si wewe ulisema kuwa Yesu alisamehe tu kila jambo? Unaonyeshwa mahali ambapo hakufanya hivyo unakuja na gia nyingine! Thibitisha kuwa Yesu alisamehe kila jambo kwanza ndipo uende kwingineko. Mimi nakuhakikishia kuwa si kila mahali Yesu alisamehe na kama bado unabisha angalia jinsi alivyowatimua waliokuwa wanafanya biashara hekaluni. Usisome mstari mmoja kwenye biblia ukadhani umemaliza na unafahamu yote, si kweli.

Ujue kuna ya kusamehe, kuna ya kukemea, kuna ya kuhukumu. Hivi ilipoandikwa kuwa "mtakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa na mtakalolifungua duniani na mbinguni limefunguliwa" unadhani ilikuwa ni utani? Huko kufunga au kufungua (duniani) si kuhukumu? Au hukumu kwako wewe maana yake nini hasa?

Hivi unajua hata kule kumwona Gwajima kuwa mtu wa hasira nako ni kuhukumu? Jihadhari kama kweli hupendi kuhukumu kwa "kutoa kwanza boriti lililo kwenye jicho lako, ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako".

Mwisho (maana sitakujibu tena), watumishi wa Mungu wako wa aina nyingi. Hivi unajua kuwa hata Farao alikuwa mtumishi wa Mungu? Maana aliyeufanya moyo wa farao kuwa mgumu si shetani bali ni Mungu. Je, unajua kuwa Nabkadreza alikuwa mtumishi wa Mungu? Utumishi unatokana na utayari wa kutumika wala si ubora wa mtu. Tofautisha kati ya utumishi wa Mungu na uhusiano wa mtu na Mungu. Ndio maana imeandikwa; "si wote waniitao Bwana, Bwana, wataurithi ufalme wa mbinguni". Lakini hiyo haikupi wewe uhalali wa kuwahukumu watumishi wa Mungu au kuwadharau. Siri hiyo anaijua Yeye mwenyewe anayetumikiwa.
 
Wasalaaaaaaaaaaam...!!!

Watanzania walio wengi naamini wanamfahamu Huyu Anae Jiita Mchungaji GWAJIMAZ Japo wengine hawamfahamu! Unaweza kuwa unamfahamu Gwajima kama Mchungaji lakini Tabia zake kiundani huwezi kuzifahamu....nitakupa japo kwa Ufupi kuhusu hilo na Kuweka Ushahidi kidogo ikiwezekana!

Sote tunaamini ya kuwa Mchungaji ni mtumishi wa Mungu anae fanya kazi Duniani badala ya Mungu yupo duniani kumsaidia Mungu kuwarudisha Kundini Kondoo walio potea! Maana maneno ya Mungu kwenye Agano jipya Yanasema....KWA MAANA JINSI HII MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU AKAMTOA MWANA WAKE WA PEKEE ILI KILA AMUAMINIYE ASIPOTEE BALI AWE NA UZIMA WA MILELE! baada ya Hapo Yesu aliondoka duniani akaacha wanafunzi wake waendelee kueneza injili ambao zao lao ndio Wachungaji wa sasa! Sasa katika wachungaji wamegawanyika kuna wachungaji kwelii na Wachungaji Wapiga hela!! Wachungaji wa kweli ni wale wanao fanya kazi katika mitaa au usharika Fulani! Na wachungaji wapiga pesa ni Wale wanao anzisha makanisa yao na wao wakiwa wakubwa wa Makanisa hayo mfano GWAJIMA!

Kama ulikuwa hujui ni kuwa mchungaji Gwajima Ni mtu Anae fikiria sana pesa kuliko Neno la Mungu....Ni mtu anae Fikiria sana Afanye nini Kuokoa Familia yake kimaisha kuliko Neno la Mungu! Pesa anazo pata Gwajima na Kuwezesha Maisha yake Kwenda Ni kwa kupitia Sadaka Za Waumini waliodanganyika kwa kivuli cha kuokoa watuu ili waende wakatoe sadaka za shukrani na sadaka za pekee yeye aweze kuendesha Familia! Kumbuka Maneno ya Mungu yanasema SIKU ZA MWISHO WATAJITOKEZA MANABII WENGI WAUNGO WAKIJIFANYA WAMETUMWA NA MUNGU! Unaeza ukahisi ni kama Uongo Lakini ukweli ndio huo kama Gwajima akiweza kudanganya watu 1000 wakaenda kanisani kwake na wakatoa elfu 10 kila mmoja unaweza piga hesabu kwa atakuwa ameingiza kiasi gani kwa siku moja bila kukatwa kodi wala nini!

Gwajima Baada ya kuona Makanisa kwa sasa yamekuwa mengi na watanzania wanazidi Kuelemika na kufunguka Ndipo Gwajima Akaamua kujiingiza kwenye mambo,ambayo Atawavutia waumini wengi zaidi..Mambo hayo ni pamoja Na kujiingiza kwenye SIASA,UMBEA WA KUSEMANA....na kuigizaa Kuwaaminisha watu kuwa yeye ni muokoaji na Mtoa Mapepo kumbe sio!! Kama utakumbuka Alianza na Bunge la Katiba Akamtukana Sana PENGO na akamlaani....ili tuu afurahishe watu watoe sadaka Nyingii lakini MUNGU hamtupi mja wake PENGO alisema Anamuachia Mungu....siku 3 mbele tukasikia Gwajima Yupo hospital na serikali imemkalia kooni!!.....Baadae Aliangalia upepo na Kuona watanzania wengi wanamuunga mkono Lowassa...Kwa lengo lile lile la kupata pesa nyingi kupitia sadaka akaamua kuingia kumsupport Lowassa Na Kuanza kugombana na Mchungaji mwenzie SLAA.....Akapata watu wengi sana.....Uchaguzi ukapita na Lowassa akaangua (Huo ni mkosi wa Gwajima)......Alivyoona watu wengi wanamuelewa Magufuli mzee wa kutumia Fursa Gwajima akaanza kujipendekeza kwa MAGUFULI na kumkana Lowassa Hadharani kuwa hajawahii muunga Mkono katika harakati zake za Siasa....hivyo yeye yupo upande wa Magufuli...Lakini Uzuri wa Magufuli huwa hana SHOBO Na mtu hajawahi mpa kiki yoyote ile GWAJIMA pamoja na Kujipendekeza kote....Alimua kwenda kwa Mzee wa Upako lakini sio Kwa Gwajima!!

Gwajima na Tabia yake ya Umalaya! Kama ulikuwa hujui Gwajima Anatabia ya kuwatafuta wake za watu na ushahidi upoo kwa kisingizo cha kuwa yeye ni Mchungaji! Mbali na wengi aliotembea nao Gwajima alifanikiwa kutembea na Mke wa mtu...mke wa MBASHA na kufanikiwa kumpa mimba! Haikuishia hapoo alifarakanisha Ndoa kabisa ya Mbasha hadi sasa Mbasha ameechana na mke wake kisa Gwajima! Ni ajabu sana Kusikia Lakini kuna ukweli Ndani yake Gwajima Alisha Mtaka Mke wa Makonda kabla hata ya kuhusishwa na Madawa ya Kulevya hivyo ugomvi wao si waleo wala juzi! Wapo wengine wengi

Jiulize....Kwanini mchungaji Atajwe kwenye Tuhuma za Madawa ya kulevya? Watanzania tusifumbe Wala kuziba ubongo wetu kushindwa kutafakari Mambo! Makonda hadi kufikia kutaja majina ya Watu wanao jihusisha na Madawa ya kulevya si kazi aliyo ifanya pekee ake ndani kwake! Ni kazi aliyo peleleza kwanza na kwa kushirikiana na Rai wema pamoja na jeshi la polisi ndipo akapata hayo majina aliyo yataja! Sasa ushawahi Jiulizaa kwanini Amtaje GWAJIMA na si mchungaji mwingine Yeyote???? Iwe unampenda makonda au humpendi lakini je Ulishwahi jiuliza kwanini iwe huyu mchungaji na si mwingine?

Kupitia kisa kidogo tuu hicho....Gwajima akasoma akili za watu na kuamua hapo hapo kupiga pesa na kupitia hilo unaaambiwa Gwajima Kaingiza sadaka za Shukrani na Pekee si chini ya Millioni 687 na Ushee kupitia kumsema Makondaa kanisani kwake! Na hii ni baada ya kuona Makonda ana nguvu kubwa na anapendwa na watu na kila mtu anapenda kumsikia!!

Jiulize swali Dogo....Hivi kwani Makonda ndio mtu wa kwanza kumsema? Mbona Magufuli alipiga mkwara siku moja na aliufyata hakusema lolote hadi leo hii...KUHUSU KWENDA NA KWAYA kituo cha polisi...Magufili akasema kamata Kwaya weka ndani wakaimbie mapambia rokapu mbona alikaa kimya hadi leo! Ni baada ya kuona Magufuli Hakamatiki

Leo Tena Diamond Kamtaja Gwajima Mara moja tuu ameripuka na amefura Moto baada ya kuona DIAMOND ana ushawishi mkubwaaa TANZANIA na hiyo akimsema kanisani kwake atapata Sadaka Nyingi sanaaa baada Swala la Makondaa Magufuli kashalizimaaa kilicho baki ni kumvaa Diamond ili apate pesa nyingii......Ushwahi jiuliza kwani Diamond ni wa kwanza kumtaja?? Mbona Nay wa Mitego anamsema kila siku kwenye nyimbo zake lakini hajawahi kumsemea kanisani wala wapi kwanini iwe Diamond? Anajua Kuwa Wapenda umbea wote wataenda kanisani na Atapata Sadaka nyingi kufikia lengo lake la Kupata billioni moja kwa mwezi!

Diamond Please Mimi ni shabiki wako Kama unampenda Zariii kwelii kaa mbali na Gwajima usitake hata Urafikii naee Muulize mbashaaa.....Please Diamond!!

Gwajima wewe ni Mtu mzima kuendelea kuwa na Tabia za kimachinga sio poa na ni muda wa wewe kubadirika....umewaibia na kuwadhurumu vyakutosha watanzania! Sisi wengine tulisha apa kutokuja kufika kanisani kwako kwa namna yoyote ileeee hata kwa kugawa pesaa!!!

Watanzania Amkenii acheni kuibiwa!
 
'Majeshi Majeshi ' -Gwajima

'Majeshi ya Bwana'- Wafuasi wake

Gwajima ananifurahisha sana kwa kweli mbwembwe na Madaha yake .. Eti nikikupiga lazima upoteee.

Nchi hii bila ya Ujanja ujanja utakufa bila hata kuacha Mali za Watu kutoana Ngeu kugombea

Ujanja ujanja na kujitoa kwake akili Leo
Kumemuwezesha aishi Kama Mfalme
 
Mambo anayofanya huyu mzee kanisani kwake wangekuwa wengine tayali wangekuwa wameshaambiwa wanaleta siasa kwenye nyumba za ibada

Hata Mange alianza hv hv wakamwacha mpaka leo anawakosesha usingizi yani amekuwa kama DG wa TISS sasa wasipomzibiti huyu mzee wa Single Touch Double Manifestation atakuja kuwasumbua sana na ni wakati wa Bunge kutunga sheria za kudhiti nyumba za ibada na siasa kwani mission ya dini ni kutuonyesha njia ya kuelekea peponi au paradiso tu na kazi ya wanasiasa ni kuleta maendeleo na kusimamia haki na sheria tu ndo maana kiapo chao ni kulinda katiba na katiba ni haki na sheria
 
Wasalaaaaaaaaaaam...!!!

Watanzania walio wengi naamini wanamfahamu Huyu Anae Jiita Mchungaji GWAJIMAZ Japo wengine hawamfahamu! Unaweza kuwa unamfahamu Gwajima kama Mchungaji lakini Tabia zake kiundani huwezi kuzifahamu....nitakupa japo kwa Ufupi kuhusu hilo na Kuweka Ushahidi kidogo ikiwezekana!

Sote tunaamini ya kuwa Mchungaji ni mtumishi wa Mungu anae fanya kazi Duniani badala ya Mungu yupo duniani kumsaidia Mungu kuwarudisha Kundini Kondoo walio potea! Maana maneno ya Mungu kwenye Agano jipya Yanasema....KWA MAANA JINSI HII MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU AKAMTOA MWANA WAKE WA PEKEE ILI KILA AMUAMINIYE ASIPOTEE BALI AWE NA UZIMA WA MILELE! baada ya Hapo Yesu aliondoka duniani akaacha wanafunzi wake waendelee kueneza injili ambao zao lao ndio Wachungaji wa sasa! Sasa katika wachungaji wamegawanyika kuna wachungaji kwelii na Wachungaji Wapiga hela!! Wachungaji wa kweli ni wale wanao fanya kazi katika mitaa au usharika Fulani! Na wachungaji wapiga pesa ni Wale wanao anzisha makanisa yao na wao wakiwa wakubwa wa Makanisa hayo mfano GWAJIMA!

Kama ulikuwa hujui ni kuwa mchungaji Gwajima Ni mtu Anae fikiria sana pesa kuliko Neno la Mungu....Ni mtu anae Fikiria sana Afanye nini Kuokoa Familia yake kimaisha kuliko Neno la Mungu! Pesa anazo pata Gwajima na Kuwezesha Maisha yake Kwenda Ni kwa kupitia Sadaka Za Waumini waliodanganyika kwa kivuli cha kuokoa watuu ili waende wakatoe sadaka za shukrani na sadaka za pekee yeye aweze kuendesha Familia! Kumbuka Maneno ya Mungu yanasema SIKU ZA MWISHO WATAJITOKEZA MANABII WENGI WAUNGO WAKIJIFANYA WAMETUMWA NA MUNGU! Unaeza ukahisi ni kama Uongo Lakini ukweli ndio huo kama Gwajima akiweza kudanganya watu 1000 wakaenda kanisani kwake na wakatoa elfu 10 kila mmoja unaweza piga hesabu kwa atakuwa ameingiza kiasi gani kwa siku moja bila kukatwa kodi wala nini!

Gwajima Baada ya kuona Makanisa kwa sasa yamekuwa mengi na watanzania wanazidi Kuelemika na kufunguka Ndipo Gwajima Akaamua kujiingiza kwenye mambo,ambayo Atawavutia waumini wengi zaidi..Mambo hayo ni pamoja Na kujiingiza kwenye SIASA,UMBEA WA KUSEMANA....na kuigizaa Kuwaaminisha watu kuwa yeye ni muokoaji na Mtoa Mapepo kumbe sio!! Kama utakumbuka Alianza na Bunge la Katiba Akamtukana Sana PENGO na akamlaani....ili tuu afurahishe watu watoe sadaka Nyingii lakini MUNGU hamtupi mja wake PENGO alisema Anamuachia Mungu....siku 3 mbele tukasikia Gwajima Yupo hospital na serikali imemkalia kooni!!.....Baadae Aliangalia upepo na Kuona watanzania wengi wanamuunga mkono Lowassa...Kwa lengo lile lile la kupata pesa nyingi kupitia sadaka akaamua kuingia kumsupport Lowassa Na Kuanza kugombana na Mchungaji mwenzie SLAA.....Akapata watu wengi sana.....Uchaguzi ukapita na Lowassa akaangua (Huo ni mkosi wa Gwajima)......Alivyoona watu wengi wanamuelewa Magufuli mzee wa kutumia Fursa Gwajima akaanza kujipendekeza kwa MAGUFULI na kumkana Lowassa Hadharani kuwa hajawahii muunga Mkono katika harakati zake za Siasa....hivyo yeye yupo upande wa Magufuli...Lakini Uzuri wa Magufuli huwa hana SHOBO Na mtu hajawahi mpa kiki yoyote ile GWAJIMA pamoja na Kujipendekeza kote....Alimua kwenda kwa Mzee wa Upako lakini sio Kwa Gwajima!!

Gwajima na Tabia yake ya Umalaya! Kama ulikuwa hujui Gwajima Anatabia ya kuwatafuta wake za watu na ushahidi upoo kwa kisingizo cha kuwa yeye ni Mchungaji! Mbali na wengi aliotembea nao Gwajima alifanikiwa kutembea na Mke wa mtu...mke wa MBASHA na kufanikiwa kumpa mimba! Haikuishia hapoo alifarakanisha Ndoa kabisa ya Mbasha hadi sasa Mbasha ameechana na mke wake kisa Gwajima! Ni ajabu sana Kusikia Lakini kuna ukweli Ndani yake Gwajima Alisha Mtaka Mke wa Makonda kabla hata ya kuhusishwa na Madawa ya Kulevya hivyo ugomvi wao si waleo wala juzi! Wapo wengine wengi

Jiulize....Kwanini mchungaji Atajwe kwenye Tuhuma za Madawa ya kulevya? Watanzania tusifumbe Wala kuziba ubongo wetu kushindwa kutafakari Mambo! Makonda hadi kufikia kutaja majina ya Watu wanao jihusisha na Madawa ya kulevya si kazi aliyo ifanya pekee ake ndani kwake! Ni kazi aliyo peleleza kwanza na kwa kushirikiana na Rai wema pamoja na jeshi la polisi ndipo akapata hayo majina aliyo yataja! Sasa ushawahi Jiulizaa kwanini Amtaje GWAJIMA na si mchungaji mwingine Yeyote???? Iwe unampenda makonda au humpendi lakini je Ulishwahi jiuliza kwanini iwe huyu mchungaji na si mwingine?

Kupitia kisa kidogo tuu hicho....Gwajima akasoma akili za watu na kuamua hapo hapo kupiga pesa na kupitia hilo unaaambiwa Gwajima Kaingiza sadaka za Shukrani na Pekee si chini ya Millioni 687 na Ushee kupitia kumsema Makondaa kanisani kwake! Na hii ni baada ya kuona Makonda ana nguvu kubwa na anapendwa na watu na kila mtu anapenda kumsikia!!

Jiulize swali Dogo....Hivi kwani Makonda ndio mtu wa kwanza kumsema? Mbona Magufuli alipiga mkwara siku moja na aliufyata hakusema lolote hadi leo hii...KUHUSU KWENDA NA KWAYA kituo cha polisi...Magufili akasema kamata Kwaya weka ndani wakaimbie mapambia rokapu mbona alikaa kimya hadi leo! Ni baada ya kuona Magufuli Hakamatiki

Leo Tena Diamond Kamtaja Gwajima Mara moja tuu ameripuka na amefura Moto baada ya kuona DIAMOND ana ushawishi mkubwaaa TANZANIA na hiyo akimsema kanisani kwake atapata Sadaka Nyingi sanaaa baada Swala la Makondaa Magufuli kashalizimaaa kilicho baki ni kumvaa Diamond ili apate pesa nyingii......Ushwahi jiuliza kwani Diamond ni wa kwanza kumtaja?? Mbona Nay wa Mitego anamsema kila siku kwenye nyimbo zake lakini hajawahi kumsemea kanisani wala wapi kwanini iwe Diamond? Anajua Kuwa Wapenda umbea wote wataenda kanisani na Atapata Sadaka nyingi kufikia lengo lake la Kupata billioni moja kwa mwezi!

Diamond Please Mimi ni shabiki wako Kama unampenda Zariii kwelii kaa mbali na Gwajima usitake hata Urafikii naee Muulize mbashaaa.....Please Diamond!!

Gwajima wewe ni Mtu mzima kuendelea kuwa na Tabia za kimachinga sio poa na ni muda wa wewe kubadirika....umewaibia na kuwadhurumu vyakutosha watanzania! Sisi wengine tulisha apa kutokuja kufika kanisani kwako kwa namna yoyote ileeee hata kwa kugawa pesaa!!!

Watanzania Amkenii acheni kuibiwa!
Ziroo.....
 
Back
Top Bottom