Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Hilo neno la Mungu unalosema lipo vipi hadi uje kulalamika humu? Au ndo nyie mnaotumwa na yule mvamizi? Na hiyo sadaka yako ya miatano ndo umeona ni ya kututangazia humu? Bashite wahedi wewe
 
Nimevumilia sana lakini sasa nimechoka, yaan ni wiki ya tatu sasa kila nikienda kanisani kusikiliza neno la Mungu katika Kanisa la Ufufuo na uzima ila baada ya kusikiliza neno la Mungu nasikiliza majungu, umbeya na udaku wa mtu anayeitwa Bashite, halafu muda wa sadaka ukifika naambiwa tutoe sadaka, sitakubali tena jumapili hii kufanya hili swala, nitatoa sadaka kama nitasikiliza neno la Mungu mwanzo mwisho, sio majungu, yaan mtu anahubiri majungu tu kila jumapili? sasa, sijui neno la Mungu tutaanza kuhubiriwa lini?

Naomba sana mchungaji husika, jumapili uhubiri neno la Mungu, tunataka kusikiliza neno la Mungu, au basi ongelea Bashite huku ukihusianisha na neno la Mungu na biblia.
Umekosea sana, kwa nn usirudi kanisa lako la awali? RC/Lutheran? Achana na matapeli hao, mungu ni mmoja!
 
Mmbea ni ww unayetumwa na bashite kwenda kanisani,kukusanya data za kilichojiri,na ccm wangapi walikuepo kanisani,ili muwafutie uanachama.mnafiki wakuzimu ww.umeitwa kanisa hilo?walikwambia wanasubiri sadaka yako?ucende wala kutoa hiyo sadaka uone km kanisa hilo litakufa.uc chotaka ni kuckia serikali yenu ilivyofedheheka kwa njama za kijinga kutaka kunyamazisha watu juu ya elimu ya bashite !mmeshachelewa,hili limevuka mpaka mipaka ya nchi,cjui mnaficha nn ! Mnalo hilo na hamtazusha uongo wwte,juu ya mtu yeyote,mkaaminika tena.njama zenu ovu ss zipo hadharani.hao wote mliowataja kuhucana na madawa mlitaka tu kuwachafua.Mungu hamfichi mnafiki,hatimae mmeumbuka na mkuu wenu.Mungu ucyedhihakiwa,kwakua wana ccm walimlinganisha magufjli na MASIHI,ucwasazie,ficho lolote,kila wafanyalo,waaibike mpaka hata nyasi wakanyagazo,zikauke,ili wajue hata udongo wa nchi umewakataa.wacpate faraja,msaada toka nchi yoyote,mpaka nchi iwalemee na waikimbie wenyewe bila kufukuzwa na mtu.km alivyoanza bashite kutafuta nchi ya kwenda.Mungu mm ni mwanadamu naomba kwa jinc yangu,ila Ww unatimiza kwa jinc iliyokuu na yenye utukufu Mungu mno.naomba unirehemu Mungu wangu,nikiiacha hii serikali dhalimu mikononi mwako,nikikutazamia utende jambo,Amen.
 
Nimevumilia sana lakini sasa nimechoka, yaan ni wiki ya tatu sasa kila nikienda kanisani kusikiliza neno la Mungu katika Kanisa la Ufufuo na uzima ila baada ya kusikiliza neno la Mungu nasikiliza majungu, umbeya na udaku wa mtu anayeitwa Bashite, halafu muda wa sadaka ukifika naambiwa tutoe sadaka, sitakubali tena jumapili hii kufanya hili swala, nitatoa sadaka kama nitasikiliza neno la Mungu mwanzo mwisho, sio majungu, yaan mtu anahubiri majungu tu kila jumapili? sasa, sijui neno la Mungu tutaanza kuhubiriwa lini?

Naomba sana mchungaji husika, jumapili uhubiri neno la Mungu, tunataka kusikiliza neno la Mungu, au basi ongelea Bashite huku ukihusianisha na neno la Mungu na biblia.
Kwani umelazimishwa acha tabia za kiboya
 
Ukisoma alichosema jana mahakamani utamjua. Wakati alipopatikana na silaha hospital alidai ameiagiza ili kunilinda. mahakamani kasema alikuwa nayo to & from Arusha.
 
Ji tatizo kubwa kiongozi kusikia uvumi mitaani na unalipuka hadharani. No research no right to speak. Unavamia kituo cha TV eti inteligensia imekuambia hivyo then unaumbuka pale unakuta holaaa. Halafu huu mtindo Wa ku-operate secret units ni Wa hatariii sanaaaaaa. Ni kuendesha serikali kimajingu, upendeleo, uonevu na kudharau weledi na kuendekeza uonevu.
 
YANI UMAJITAHIDI KABISA SIJUI KWA KUSUDI GANI KUTETEA VITU USIVYOKUWA NA USHAHIDI NAVYO. KAMA GWAJIMA ANASEMA UONGO WAKAMSHTAKI. HAYO YA UNABII WA UONGO MI HAYANIHUSU MAANA SIJAAMBIWA NIMEAMBIWA NISIHUKUMU.
Mbona hamumwambii Askofu wenu FEKI kama makonda ana vyeti FEKI akamshtaki badala ya kufanya ndio injili ya kila siku.
 
Ji tatizo kubwa kiongozi kusikia uvumi mitaani na unalipuka hadharani. No research no right to speak. Unavamia kituo cha TV eti inteligensia imekuambia hivyo then unaumbuka pale unakuta holaaa. Halafu huu mtindo Wa ku-operate secret units ni Wa hatariii sanaaaaaa. Ni kuendesha serikali kimajingu, upendeleo, uonevu na kudharau weledi na kuendekeza uonevu.
Lakini madawa ya KULEVYA kwa kiasi kikubwa yamepungua mitaani na vijana wetu wanapona sasa. Hivi ni kwa nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom