Mchungaji Gwajima na tabiri zake: 'Tanzania Mpya' inakuja

CHADEMA muwe makini sana na hawa wachungaji!

Kuna aina mbili za viongozi wa dini ya kikisto na aina hizi zilijidhihirisha kwenye uchaguzi wa 2010

Aina ya kwanza ni wale wenye kuitaka CHADEMA iingie madarakati kwa maslah ya kanisa, kundi hili wanafanya kazi zao kwa usiri mkubwa, na unaweza kujikuta unatumiwa bila kujitambua.

Aina ya pili ni wale wenye mlengo wa kutaka CHADEMA isiingine madarakati(probably wanatumiwa na vyama vingine), kundi hili hufanya kazi zao wazi wazi na kuitetea CHADEMA mbele ya camera za waandishi, kundi hili ni la kina gwajima. Lengo kuu haswa la hawa ni kuipamba CHADEMA na kanisa ili watu wengine waiogope CHADEMA kama ukoma. Ujinga wa baadhi ya viongozo wa CHADEMA ni kutokukemea na kuona kama wanapaishwa kumbe ndio wanapakwa matope.

Ni hayo tu kwa leo
Tume ya Katiba
(ADC- chama cha amani,upendo,utulivu na maelewano)
Hivi wewe mpuuzi, hayo kwenye bold ndio umeandika nini? Kwanini usiwe makini kabla ya kuhara huo mharo uchunguze kama unafaa? Maneno hayo peleka FB na sio hapa.
Pili, kwenye Italic hapo ni full contradiction tupu! Sijui akili yako imetengana na mwili na kubakiza fuvu tu????!!!!!!!! Aagggggghhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Unakera sana!
 
Hivi udini kwenye CDM ni upi? Mbona kuna vyama ambao karibu viongozi wa ngazi za juu karibu wote ni waislamu lakini hamsemi na hata viongozi katika ngazi za mikoa na wilaya mpaka ngazi za mashina lakini hamsemi!!!!! Kwani kuwa Mkristo ni nongwa kwenu??????????? Hebu acheni kupandikiza mbegu za chuki zisizo na maana. Mimi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa lakini hoja hizi za udini zimekuwa kama ukoma sasa. Unajua ndio maana tunaendelea kuwa maskini kwa kuwa na fikra mgando hizi za kutofikiri namna tutakavyojikomboa kutokana na maisha magumu tunakaa kuwaza juu ya dini za watu. Huu muda mnatoa wapi wandugu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Au kuna watu wanapita wakigawa fedha kwa kuwa katika dini fulani!!!!!!!!!! Au raslimali zinagawanywa kulingana na dini???????????? Acheni hizo tuchape kazi!!!!!!!!!!!!!!!
Amplified. Hawa hudhani hoja ya dini ndio tija. Hivi kuna binadamu asiye na dini? Mbona hata Upagani ni dini takatifu kwa wanaoifuata? Wanaoongelea udini labda wanataka shetani ndio awe Kiongozi wa Chama ili hicho Chama kisionekane kina udini!
 
Chadema mkitaka mpotee kisiasa nyie endeleeni kufuata mawazo ya Wachungaji huwezi kuendesha nchi kwa utabiri...kwa hiyo huyo Mchungaji ndio kachukuwa mikoba ya Sheikh Yahya.
 
Chadema mkitaka mpotee kisiasa nyie endeleeni kufuata mawazo ya Wachungaji huwezi kuendesha nchi kwa utabiri...kwa hiyo huyo Mchungaji ndio kachukuwa mikoba ya Sheikh Yahya.

...kwa hiyo ndiyo maana CCM imepotea kisiasa? kwa kumfuata Sheikh Yahya alikoelekea?
 
Wajinga ndio waliwao. Upuuzi mtupu.

Mchungaji wa Loliondo vipi kikombe chake?
 
walah sasa si shwari tena haya mambo ya mungu au siasa (kaizari).... Hofu yangu ni jinsi magamba yatakavyogoma ukweli na jinsi yanavyoendelea kukataa ukweli huu maana uko wazi mno yasijetokea ya kenya tuu tuombe mungu wa haki aturehemu na mafisadi hawa wasiokubali ukweli.........
 
No. Gwajima Ndo aliyetabiri kwamba Shehe Yahya atakufa very soon (it was 2010)


Wengine hawajui hilo. Katika taifa kuna watabiri na manabii. Nabii hutoa kauli za mwenyezi Mungu, mara nyingi huwa ni cinditional, ukikubali maonyo au maagizo unapona, ukikataa unaangamia. Na yote hulenga haki ya umma (Haki ya Mungu ndani ya umma).:alien:
 
Wengine hawajui hilo. Katika taifa kuna watabiri na manabii. Nabii hutoa kauli za mwenyezi Mungu, mara nyingi huwa ni cinditional, ukikubali maonyo au maagizo unapona, ukikataa unaangamia. Na yote hulenga haki ya umma (Haki ya Mungu ndani ya umma).:alien:

Nakumbuka! Shekh Yahya aliambiwa masharti fulani na Mchunga Gwajima akadharau. Muda ulipofika akakatika katu.
 
Back
Top Bottom