Mchungaji Gwajima na tabiri zake: 'Tanzania Mpya' inakuja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji Gwajima na tabiri zake: 'Tanzania Mpya' inakuja

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Asante, Jun 10, 2012.

 1. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Kawe, Mch.Josephat Gwajima amesema Tanzania mpya yenye matumaini inakuja.

  Akihubiri Kanisani hapo leo alisema ingawa yeye ni mwana CCM na vyombo vyote vilivyotumika kwenye mkutano wa ccm Jangwani jana vilitoka Kanisani kwake, alisema chama cha siasa cha ccm kipo katika wakati mgumu na kimepoteza kabisa mwelekeo na uwezo wa kuongoza dola.

  Amewaonya wanasiasa wanaojiona ni wasafi na bado wanang'ang'ania ccm, wajue mwisho wao kisiasa upo ukingoni, aliwaonya Mwakyembe, Sita na wanasiasa wangine kuwa hali ya ccm ilivyo sasa ni sawasawa na samaki aliye ndani ya bwawa na maji ambalo linakaribia kukauka.

  "Tanzania mpya inakuja" ulikuwa ndio ujumbe wake wa leo.

  Tanzania yenye uwezo wa kukomesha rushwa inakuja.

  Tanzania yenye uwezo wa kujali afya za wananchi wake inakuja.

  Tanzania yenye uwezo wa kukomesha wizi wa mali za uma inakuja.

  Tanzania yenye uwezo wa kuwapatia vijana wake elimu bora inakuja.

  Tanzania yenye uwezo wa kuwalisha wananchi wake inakuja.

  Amewatakia wananchi wote afya njema, wapate kuipokea Tanzania mpya.

  Tanzania mpya inakuja - AMINA.

  BAADAE: Juni 14, 2012

   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Amen rip ccm
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ndio mrithi wa shehe yahaya ?
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Bila shaka,..analeta habari za misukule ili acheze abrakadabra
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  eeh! Kazi ipo, ina maana makao makuu ya Magamba hayana vipaza sauti! Over 40 years. Si bure ni laana
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Huu ndio ukweli wa mambo. Kama wanaccm wanasoma mtandao na specifically habari hii, basi WAFICHE UPUMBAVU WAO.
  HII HAIHITAJI DAKIKA KUFIKIRI.
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mambo mengine siyo utabiri bali hata mwelekeo wa mambo unaonyesha!
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Unacheza na dhambi ya wizi, rushwa na ukandamizaji nini!!??
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  wafuasi wa ccm ni wapumbavu na unajua siku zote mpumbavu haelimiki
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Haswaa.
   
 11. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Gwajima ndio mkodishaji wa vyombo vya muziki na matangazo kwaajili ya mkutano wa CCM?
   
 12. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,297
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Anakiri kuwa mwanaCCM ingawa anawaonya kina Mwakyembe wasing'ang'anie huko! Yeye anahofia nini, kwa nini asianze yeye kutoka ?
   
 13. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,246
  Likes Received: 8,309
  Trophy Points: 280
  kwanza atuambie issue ya msukule wa marehemu amina chifupa iliishia wapi....
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Like, natumia mobile mkuu
   
 15. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  tatizo kasema maneno hayo kama nani?

  1. kama nabii?
  2. kama kada wa CCM aliyetoa vyombo vya mkutano?
   
 16. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,302
  Likes Received: 10,341
  Trophy Points: 280
  Huo ni uongo. Huyu ni mzushi na muongo. Anachosema ni cha kutunga ili kufurahisha watu. Hebu toa ushahidi zaidi.

  Acheni bwana kutufanya sisi kama hatujui vitu. Watumishi wa Mungu wanautaratibu wao wa kuongelea viongozi.

  Eti ametaja na majina ngoja tumuulize yeye maana na yeye yumo humu.
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hivi huyu GWAJIMA si ndo LUKUVI alienda kumuomba amuombee KIKWETE mapepo yasimvamie Ikulu? atakuwa amesoma lile andiko linalosema KWELI ITAKUWEKA HURU!
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kama Mtanzania anayejua Tanzania inakwendaje!
   
 19. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Hakuna uzushi wa uongo wowote, ccm imefika mwisho wa reli.
   
 20. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  ...... kama mwananchi
   
Loading...