Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Katika hii nchi kuna watu ambao ni UNTOUCHABLES!
 
Kweli kabisa..

It's high time wanasheria wetu akina Jenerali Ulimwengu, Kibatala, Lissu, Msando, Mallya na wengine wakalichukua hili suala to the highest level.

Hii kashfa kubwa ya uhalifu kwenye Taaluma haipaswi kwisha hivi hivi tu.

Walipeleke hili suala Mahakamani tafadhali.
 
Jamani iko wapi Inteligensia ya Polisi ? watu wanaandamana zaidi ya wiki sasa kuhusu huyu mtuhumiwa
 
Halaumiwi kwa kuendesha vita dhidi ya mihadarati! (Wanaomlaumu wanakosea) Bali atalaumiwa sana kwa kusemekana kutumia cheti kisicho chake na ameshindwa kukanusha wala kuthibitisha kitu kinachopelekea watu waamini kuwa tuhuma ni za kweli! (Kuwa kimya maana yake ni kukubaliana na tuhuma)
Historia itamkumbuka kama shujaa kwenye vita dhidi ya madawa ya kulevya na kanjanja wa elimu aliyewahi kuwa *C!
Imeniumiza sana MTU niliyekuwa nampigia upatu humu kama shujaa wa Taifa kumbe ni kanjanja wa elimu! Vinginevyo aweke wazi majina yake na vyeti toka primary hadi chuo kikuu!
 
Sawa nimekuelewa "mbingunikwetu". Asante sana!
 
Katika hii nchi kuna watu ambao ni UNTOUCHABLES!
MTU akitaka kujidanganya mwenyewe na adhani kuwa ni untouchable! Hayupo hata mmoja! Wako wapi kina Ghadafi, Sadaam Hussein, Mobutu! Wote hao enzi zao walidhani ni untouchables! Wote mnajua walivyokuja kuadhirika! Ukitenda haki unakuwa jasiri kama simba vinginevyo hata watoto utashindwa kuwatazama machoni!
 
Miaka hiyo pale NATA hotel kwa pembeni kulikuwa na mwembe. Jirani na ile temple ya wahindi.

Unaikumbuka Soweto?
..Chini ya Mwembe huo, (yaani kabla ya kuvuka Mto Uenge ukielekea Uhuru) palikuwa panauzwa Tangawizi saa za jioni..
 
Identity theft is a serious crime
Makonda must come clean on this issue.

TAMISEMI must assure the people that Dar es salaam the biggest city in the country is not led by a Fraudster!!

The ministry of education must tell the people what did it find when they verified Mr Makonda's cerificates during the certificates verification exercise, If they didn't verify his certificates the Minister must tell us why the rest of the public services were verified but the political posts holders were'nt?
 
Hakuna kutoka Kwenye "Focus"Daudi Bashite AMA akanushe au akubali ya Mchungaji Gwaj
 
Jamani hamchoki tu kila siku daud bashite! Huyo hatumbuliki japo mara moja moja kukiuka sheria lazima iwepo ukifuata Sheria sana utashindwa kusaidia familia yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…