Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mkubwa Mungu wewe, yaani mtu mwenye zero unamuita mkubwa? Bora ungesema kwa mtu mjanja mjanja kama Daudi
 
Au aagize Sirro na makamanda wengine wamkamate Gwajima na kumbambikia kesi kwamba anavuta bangi, waende kwa mkemia mkuu wakatakatishe karatasi la vipimo vya mkojo .

Akiongea Makonda ni sawa na kama kaongea mungu .
 
Kwa haya yanayoendelea kati ya mh Paul Makonda na Mchungaji Gwajima ni dhahiri shairi ni udhalilishaji na kuchafuliana majina tu!

Kitendo cha Gwajima kuzusha habari za kumchafua mkuu wa mkoa ukweli si nzuri na hii kosa kabisa

Hivyo namshauri mkuu Makonda achukue hatua zaidi alifikishe hili kwenye sheria, ili Gwajima apishe faini!
Hii ni udharilishaji hasa kwa mtumkubwa kama Rc wa Dar es salaam
Badala ya gwajima kumshtaki kwa kumdhalilisha yeye makonda ndo ashtaki,ngwai ngwai nyamaafu konda wa UDART,kashikwa pabaya hadi kor.odani zimezama ndani ndo laana hata kupata baby hadi akampigie warioba magori na lowasa
 
Mnataka walio na ushahidi kuwa mh. Paul Makonda hajatumia vyeti wa mtu,,mmesahau kuwa ni punde tu tulihakikiwa vyeti vyetu tena mara kadhaa na vyombo mbalimbali vya serikali bila mtu ushahidi wowote kutoka kwa raia?
Mmesahau kuwa Paul Makonda ni mtumishi wa umma na kwamba na yeye alishahakikiwa vyeti vyake? Kama mnakumbuka,sasa badala ya kutaka kumsaidia kuchepusha mjadala,kwanini nguvu hizo hamzielekezi kwa taasisi za serikali zenye majibu ya uhakiki wa vyeti vyake? Au mnataka kutuambia kuwa ule uhakiki ulikuwa kwa watumishi flani flani pekee?
Mods,mkiona vema msiunganishe uzi huu maana una dhima tofauti.
cc.Nyani Ngabu na Paskali Mayalla
 
Kila mtu ana hakia yakuongea ktk alicho kisimamia kuwa kina ukweli ndani yake
 
Kwa haya yanayoendelea kati ya mh Paul Makonda na Mchungaji Gwajima ni dhahiri shairi ni udhalilishaji na kuchafuliana majina tu!

Kitendo cha Gwajima kuzusha habari za kumchafua mkuu wa mkoa ukweli si nzuri na hii kosa kabisa

Hivyo namshauri mkuu Makonda achukue hatua zaidi alifikishe hili kwenye sheria, ili Gwajima apishe faini!
Hii ni udharilishaji hasa kwa mtumkubwa kama Rc wa Dar es salaam

Naona umesajili ID hii kwa lengo la kumtaka Makonda afungue kesi,pole sana.Kabla hajafungua hiyo kesi,mwambie aviweke hadharani veti vyake vya kuzaliwa,ubatizo,ndoa na shule ili tujiridhishe kama yasemwayo juu ya majina yake ni uongo.
 
Hahaha nacheka kwa dharau inaitwa ukipigwa ngumi ya jicho na wewe piga ya sikio akikuuliza unaonaje wewe muulize...
 
Uwakiki ulikuwa kwa walimu tu na manesi hao ndowalikiona chamtemakuni wamehakiki zaidi ya maranne watu waliacha kazi ndani ya masaa 24 wengine wamekula kona kimya kimya ilikuwa zaidi ya noma.hao wauko juu hawakuguswa
 
Nyie mnao mpa kichwa huyo RC wenu ndo mnao taka kumuua kabisa.
As mnamsea nyie yeye yu wapi.?! je kama anajua ni kweli aliyo yasema GWAJIMA atanzia wapi kufungua hiyo kesi.?!
 
Kwa haya yanayoendelea kati ya mh Paul Makonda na Mchungaji Gwajima ni dhahiri shairi ni udhalilishaji na kuchafuliana majina tu!

Kitendo cha Gwajima kuzusha habari za kumchafua mkuu wa mkoa ukweli si nzuri na hii kosa kabisa

Hivyo namshauri mkuu Makonda achukue hatua zaidi alifikishe hili kwenye sheria, ili Gwajima apishe faini!
Hii ni udharilishaji hasa kwa mtumkubwa kama Rc wa Dar es salaam
haha mkuki kwa nguruwe
 
Waafrika wengine wanastahili kutawaliwa tena, huyu bwana D alimtuhum bwana X anatumia dawa, akalazwa mahabusu, kapelekwa kwa mkemia mkuu wamepima majibu yakawa negative, Leo naye bwana X kaliamsha halafu unasema bwana D, anachafuliwa jina
 
Kwa haya yanayoendelea kati ya mh Paul Makonda na Mchungaji Gwajima ni dhahiri shairi ni udhalilishaji na kuchafuliana majina tu!

Kitendo cha Gwajima kuzusha habari za kumchafua mkuu wa mkoa ukweli si nzuri na hii kosa kabisa

Hivyo namshauri mkuu Makonda achukue hatua zaidi alifikishe hili kwenye sheria, ili Gwajima apishe faini!
Hii ni udharilishaji hasa kwa mtumkubwa kama Rc wa Dar es salaam
Kama ni uzushi mwambie Makonda site waandishi wa habari na aoneshe cheti chake cha form four.

Alete na wanafunzi kama watatu hivi aliomaliza nao kidato cha nne.
 
Back
Top Bottom