Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Kwa ninavyofahamu hapa Tanzania mwanafunzi akipata zero hapewi cheti chochote au utaratibu umebadilika?
 
59ceb7353e1f0c67a2b91875e6f04266.jpg
95fc74ec95864112cfc47553a6d9fb6b.jpg
1c0ad04ea4c1de701d9d6b61e06f8e68.jpg
4d3a24481cf730c6bc7a5231eb97fe5d.jpg
 
Nyinyi watoto wa juzi mnazingua sana. Au mnadhani Elimu imeanza kipindi chenu hiki?
 
Kwa haya yanayoendelea kati ya mh Paul Makonda na Mchungaji Gwajima ni dhahiri shairi ni udhalilishaji na kuchafuliana majina tu!

Kitendo cha Gwajima kuzusha habari za kumchafua mkuu wa mkoa ukweli si nzuri na hii kosa kabisa

Hivyo namshauri mkuu Makonda achukue hatua zaidi alifikishe hili kwenye sheria, ili Gwajima apishe faini!
Hii ni udharilishaji hasa kwa mtu mkubwa kama Rc wa Dar es salaam!
 
Nadhani zamani wenye zero walikuwa wanapewa vyeti... system ya kuwanyima vyeti ilianza kwenye miaka ya tisini hivi...
 
Duh, kweli anaemaliza ndie huonekana Mbaya, yeye alipochafuliwa ulileta uzi humu?

Hata hivyo nafurahi hawezi kwenda mahakamani maana hii issue ni nzito kuliko kawaida, ngoja wageni wawasili kanisani juma 5.
 
Kwa haya yanayoendelea kati ya mh Paul Makonda na Mchungaji Gwajima ni dhahiri shairi ni udhalilishaji na kuchafuliana majina tu!

Kitendo cha Gwajima kuzusha habari za kumchafua mkuu wa mkoa ukweli si nzuri na hii kosa kabisa

Hivyo namshauri mkuu Makonda achukue hatua zaidi alifikishe hili kwenye sheria, ili Gwajima apishe faini!
Hii ni udharilishaji hasa kwa mtu mkubwa kama Rc wa Dar es salaam!
acha kujikomba mrs..
 
Inategemea tafsiri yako cheti ni nini?
Kipo cheti cha matokeo kinaitwa result slip
Kuna living certificate
Kuna school certificate nk
 
Kumbe zamani walikua wanatoa vyeti hata ukiwa na Zero
Wewe kweli mzee wa kijiwe Division 0 wanapewa vyeti ?

Ninadhani hii ni statement of results sio cheti.
Sasa Daudi alete Cheti halisi au alete a statement of results yake tulinganishe na hii kitu imewekwa hapa.

Asiishie hapo, Wakati Magu anagombea Urais, kwenye ile video ya kampeni tulioneshwa daftari la usajili wa wanafunzi wa shule ya msingi aliyosoma, jina la Magu lilionekana humo, sasa ni vizuri Waandishi wa habari na tv pia waende kwenye shule aliyosoma Daudi au Paul wakasome ni jina lipi lilitumika kwenye daftari la usajili wa mwanafunzi huyo alipoanza shule ya msingi?

Pili , Daudi au Paul aoneshe " a school leaving certificate" ya darasa la 7" au " a school leaving certificate ya kidato cha 1-3". Hii issue ni ndogo sana, kuitumbua.

Operation uhakiki wa vyeti hewa.
 
Kwa haya yanayoendelea kati ya mh Paul Makonda na Mchungaji Gwajima ni dhahiri shairi ni udhalilishaji na kuchafuliana majina tu!

Kitendo cha Gwajima kuzusha habari za kumchafua mkuu wa mkoa ukweli si nzuri na hii kosa kabisa

Hivyo namshauri mkuu Makonda achukue hatua zaidi alifikishe hili kwenye sheria, ili Gwajima apishe faini!
Hii ni udharilishaji hasa kwa mtumkubwa kama Rc wa Dar es salaam
 
Kitendo cha Gwajima kuzusha habari za kumchafua mkuu wa mkoa ukweli si nzuri na hii kosa kabisa
Na Bashite aliyetangaza kupitia Live TV Coverage kwamba Gwajima anajihusisha na dawa za kulevya kwako wewe ni sawa sio?! Au unadhani kwavile yeye ni RC ndo ana haki ya kuchafua watu hadharani kupitia Live TV Coverage?!!

Wangapi amewataja kwamba wanauza unga wakati hana ushahidi wowote?! Wangekuwa baba zako wale, au mama zako, au kaka zako au dada zako ungefurahia kuchafuliwa hadharani?!!

Shame on y'all !!!
 
Back
Top Bottom