Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Kina Masogange wanaendelea kuibuka kila uchao...

Kumbe Bashite kawakanyaga mademu wengi sana hapa mjini...

Mungu amjalie apate watoto atulie na familia, atatumalizia dada na kaka zetu.
 
Lile suala la Bashite kulidharau
bunge liliishaje? Kashaenda kuhojiwa? Kama jibu ni bado, basi hakuna ya haja ya kupeleka hilo la kughushi vyeti.
 
Ni kazi kubwa sana kumteteta Daudi........na kumkosoa sio kuutetea uovu wa wauza unga hata kidogo!
 
Hongereni kwa kumzima makonda na niwatakieni biashara njema ya uuzaji madawa ya kulevya

wasalaaam

WAZIWAZI
Wauza madawa hawawezi kumzima Makonda hata siku moja usitupotoshe, Makonda alifanya kwa niaba ya DOLA, kama kazimika basi katakuwa kajizima mwenyewe kwa kauli zake. Dola ya TZ haiwezi kuzimika kirahisi hivyo kama unavyotaka kutuaminisha. Usituletee siasa uchwara na ajenda yako. Vita vya madawa ndio kwanza vinapamba moto, mana wachemshaji weshachomolewa. Si unaona kamishna anavyotambaa na BITI. hAKUNA ANAYELALAMIKA na kazi inapigwa.
 
kama ndo hivyo tumshukuru Mungu ila kama sivyo basi Tuombe Mungu atuepushe na janga hili
 
wauza unga sio watu wa mchezo mchezo sasa nimeelewa kwa nn jk hakutaja majina kipindi kile
 
Juzi juzi hapa tuliambiwa sio vyema kusema ZERO sababu na Coca nayo yaitwa hivyo, badala yake tuite Division 5...raha!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…