Mimi nauliza wana JF,
Haya majina ya kutumia vyeti vya kughushi inapotokea aliyeghushi akatangulia mbele za Haki, tunakuwa tunamzika nani hasa? Aliyeghushi au aliyeuza cheti? Maana kuna hili sekeseke la huyu kiumbe Daudi Albert Bashite, ikitokea leo akaitwa mbele ya haki tutasema tunamzika nani? Maana hapo ndipo kila kitu kinakuwa hadharani kuanzia wazazi wake, asili yake, alikosoma na nyumbani kwao kijijini ambako kila mtu anamjua!!!
Itakuwaje kwenye mazishi iwapo watu watasikia likitajwa jina la mtu mwingine ambaye hata wazazi,ndugu, jamaa na marafiki hawalitambui hapo kijijini?Pale wanapoandika:
RIP: Jina la Marehemu............Downloading..
KUZ: 19.......
KUF: 20......
WASIFU:.........................