Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

The plot thickens...
Hapa sijui watatumia logic gani kujitetea, ukweli utadhihirika tu, ni swala la muda...
 

From PM to DB
 
daudi bashite kamwaga mboga gwajima katupa ugali ni mwendo wa kukelana tyu
 
Aaah mama ashaua hapo,
Ubaya naskia hawana mtoto
Maana wangekuwa na mtoto at least wangesema aka yake ni Daudi.

Ila pia kosa la Bashite aka Makonda, siyo kufeli kosa ni forgery, kama kufeli, kina Mbowe na Ole sendekea walisha feli na wanapiga mzigo fureshi tuu.
Makonda or Bashite or whoever ajitokeze kujibu tuhuma maana hali ishakuwa mbaya hapa.
 
Tulizoea uhakiki wa vyeti wa kuangalia kama cheti ni feki au halisi, ila kwa huyu jamaa anatakiwa akahakikiwe kijijini kwao. tena taarifa za kuhakiki zotoke kwa jirani yake aliyemnyima chumvi.
 
Mi muangaliaji tu wa hii movie. Naikodolea macho tu. Napenda sana drama!
 
Hapa nakubali kuwa makonda kajitia dole na sharti alinuse ili kudhihirisha jinsi nnya yake ilivyo na harufu mbaya.
 
niliona hiyo nikawa naogopa hata kupost humu nafikir hiyo post ya mke wa Makonda ataifuta sio mda mrefu maana ina kielelezo cha ushahidi
 
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Wewe ndiye unayechosha. Ukitupa jiwe kwenye mzinga wa nyuki wakakubg'ata utawauliza walikuwa wapi wasikung'ate kabla ya kuwatimua kwa jiwe? Hilo swali au ujuha?
 
"Ukitaka kutaja aibu ya mwenzio, kwanza anza kutaja aibu yako". Kama Makonda ngelijua hilo, usingejitekenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…