Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Dah jf ni zaidi ya intelijensia ya CIA
Navyoona hapo ana sababu za kujibu shutuma maaana huyu rc daud au rc Paul ukweli nadhani uanze na familia yake ,
Tingefurahi kupata kujua baba yake kwa wanaomjua ila hapo kila kitu kiko diclassfied! ####
 
Swali la kizushi division 0 certificate inatoka?
 
Hawezi kutia neno labda wanachepuka
 
hahahaha ni noma aisee, wana archives ambazo hata hujui wanazipata wapi
 
Issue ya vyeti na nafasi aliyonayo Hamna uhusiano wwte...
Kwa s' bu hata Masomo aliyochukua hayaingiliani na masuala ya siasa Au Uongozi,Ila still ANANYOOSHA VIUMBE, Gwajima ka Panic KITOTO, network ya Drugs ni pana Sana, kupimwa na kukutwa hana Drugs Haitoi maana ya moja kwa Moja kwmb He Is totally CLEAN..
PLus hakuna mtu wa kuamini ktk Maisha Haya,kuwa Kiongozi wa Dini (Mchungaji) Haitoi taswira kwmb hana MADUDU yke, it is just a Matter of time

Anawafundisha kazi waziri wa elimu+Raisi, ili iweje ss??
Dai la yy kuwepo ktk orodha Ile ni Kuhusu suala la kisiasa Hasa nafasi ya UBUNGE, na kwa maelezo yake anasema "ANAFIKIRI", so HANA UHAKIKA!!...
Daah, Upuuzi kbs
 
Ili mambo ya timu wema vs team bashite iishe ni vyema ukamshauri daud alete vyeti vyake
 
Tumia akili kidogo, mkuu wa mkoa ndie msimamiz mkuu wa uhakiki wa watumishi hewa, kama aligushi vyeti anapata wapi ujasiri wa kukagua wengine?
 
Wallah hizi tuhuma zingekuwa za uongo mpaka mda huu sina idadi ya watu ambao ungekuta wako Sero tayari achilia mbali majigambo ya kwenye Media.

Huu ukimya unatia ukakasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…